Nimetoka tena kwenye Ban jamani

Nimetoka tena kwenye Ban jamani

TUMBIRI

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Posts
1,933
Reaction score
1,203
Ndiyo hivyo jamani hatimae nimetoka kwenye Ban baada ya kumtukana Rejao humu jamvini.
 
Hongera...Jifunze!
Hasira hasara!
Wengine tukiboreka tunahama jukwaa kwa dakika 5, tukirudi tuko fresh!
 
Acha kujaza server kwa sifa za KICCM (Kijinga) mbona wengine tunakula Ban tunakuja na IDs mingine hatupigi kelele?
 
Pole sana mkuu! Njia nzuri ya kuepuka ban ni kujiepusha na watu wenye akili za kike.
 
Kumruhusu mtu a-press button yako ya mwisho ni umasaburu na ukamerun.

Afu uje uoe mwanamme maana wanawake wanakukera sana.

Pole sana mkuu! Njia nzuri ya kuepuka ban ni kujiepusha na watu wenye akili za kike.
 
Kuna watu wapo kama wanawake humu. Anakuchokoza kwa ID nyingine ili apate sababu ya kukupiga ban.
 
Pole sana jirekebishe ili usipate ban nyingine...
 
karibu tena.. siku si nyingi ulitoka ban ukaja na mkwara kwamba kina rejao, mwita25, F.F watakukoma... ikawaje ukarudishwa lupango tena...?
 
Haha mie nlipigwa ban nkaja na id nyngne nayo ipo ban ntaweka id nyingne in reality hakunaga Ban.
 
Back
Top Bottom