Nimetoka mazoezini...

Nimetoka mazoezini...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,352
Just to share a tip with you.
Nimetoka mazoezi ya viungo pale Beach Mavi Msasani, kukimbia kidogo na kucheza mpira ufukweni. Nusura nitoboke mapafu mazee.

Ila nimechangamka, naelekea kuoga sasa. Na nyie mujaribu kufanya mazoezi.

Sawasawa?
 
Mazoezi kama we ni dhaifu ila kwa sisi afya bora....mazoezi ni kula senene tu
 
Just to share a tip with you.
Nimetoka mazoezi ya viungo pale Beach Mavi Msasani, kukimbia kidogo na kucheza mpira ufukweni. Nusura nitoboke mapafu mazee...
Ila nimechangamka, naelekea kuoga sasa. Na nyie mujaribu kufanya mazoezi.
Sawasawa?

Mnh kumbe beach kimba unapajua?? Na kama unakaa msasani 90% tutakuwa tunajuana... Duuuh hii jamii forums hii! Mi mwenyewe ni mdau wa kale kasehemu
 
Mnh kumbe beach kimba unapajua?? Na kama unakaa msasani 90% tutakuwa tunajuana... Duuuh hii jamii forums hii! Mi mwenyewe ni mdau wa kale kasehemu

Throw me a PM afu nikufahamu.
Sikai Msasani, nakaa mikocheni ingawa kule napafahmu vizuri... Kama hukai kwa Mzee Halahala, basi kwa Alibhai wewe.
Uongo Uongo?
 
Hongera. Sie wengine kazi zetu ni mazoezi tosha.

Kama hii?
Zege.JPG
 
Hongera sn, santee kwa ushauri.
Nami nijarib kutenga walau muda wa kufanya mazoezi, mana tit noma
 
Mi mazoezi nayofanya na mama nginaa kitandani yananitosha kabisa.we andalea kupiga tu zoezi mwenyewe.
MAPROSOO.
 
Me nafanya mazoezi ya kushinda njaa.na nimeona manufaa yake chanya.Mshahara wa mwezi huu umetosha!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom