Ule wimbo hauna tatizo lakin, sema BASATA wamekasirika kwa kile kijembeHakuna utani kwenye hili mkuu, uliza yyt alie tune in magic fm muda mfupi uliopita. na studio alikuwepo ney akifanyiwa interview
Ndo nami najuiulizaBASATA na TCRA nani anahusika na kuzuia nyimbo kupigwa Redioni ama TV?