Hebu nisaidie kumuuliza ana uhakika huyo Joanah ni wa kike?
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] duuhWe mwana weee.. Aliekwamba mi nachagua jinsia Nani, uwe wa kike, wa kiume, trans gender, gay, transexual, bisexual etcetera etcetera and soooo mi ukinipea ntawezana, Sema I don't do Wake za watu tu, Kama ushaolewa wala sitakufunua
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] duuh
Juu ya hiyo comment au ??
Juu ya hiyo comment au ??
Ndio faida ya "leftover" huvusha watu haha
Kwahiyo mimi peke yangu ndio mmeniacha natumia infinix?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mungu anawaona.
Cc Zoë
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me mwenyewe nazimia huku nikimaliza kutype. Amefufukia wapi huyu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mweeeeeh! Tapeli la kimataifa umefufuka[emoji134][emoji134][emoji134]
Heaven Sent hebu ukuje huku nimestuka nusu nianguke!!!
Sana aise, yaani jamaa anaona bora ahangaike na mwanaume mwenzie kuliko mke wa mtu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mweeeeeh! Tapeli la kimataifa umefufuka[emoji134][emoji134][emoji134]
Heaven Sent hebu ukuje huku nimestuka nusu nianguke!!!
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me mwenyewe nazimia huku nikimaliza kutype. Amefufukia wapi huyu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki ninyi akili zenu zinawatosha wenyewe, naona atakuwa kashazinduka.