Nimetimiza Thanks ya 100

kwa kweli.....mi sijaona sababu ya kutaja dini hapo....unless una lako jambo

Sikujua kuwa niliposema mimi ni Mkristo italeta shida, ila nia yangu ni kuonyesha jinsi nilifundishwa katika imani yangu na wala si kuanzisha au kuleta chokochoko za kidini. Naomba mchukulie poa na niliowakera, samahani.
 
Mimi mwenzenu nimefungia hapa nikidhani jamaa anajisifia kwamba ametimiza mademu mia moja aliokwishawalamba......!!!!

Nimecheka, nimecheka sana, pamoja na michango ya wengine
 
Hongera, ila nilitaka kuuliza kama ni lazima mtu akianzisha post basi atangulize kusema dini yake?

Unakumbuka ni lini ulitoa hii coment TANMO (usiende kuifutilia kwanza ilipo)
 
Last edited by a moderator:
mwanzoni sikuelewa heading yako ingawaje umetufumba kdogo
sasa huko kutimiza 100 maana yake nini?


 
Hata hivyo mwendo wako ni wa kusuasua mno;
Ongeza spidi kidogo.
 
mwanzoni sikuelewa heading yako ingawaje umetufumba kdogo
sasa huko kutimiza 100 maana yake nini?

Duh! umeifufua wapi hii nilishasahau, ni kitambo. Sidhani kama nilimaanisha tofauti na nilivyosema. Yaani ni baraka kutoa kuliko kupokea.
 
Hata hivyo mwendo wako ni wa kusuasua mno;
Ongeza spidi kidogo.

Dada (naamini wewe ni female kwa avatar), wengine sisi ni wabeba zege hapa hapa TZ/Tanganyika, hivyo mahudhurio humu JF ni hafifu
 
Hongera ila kuna watu wana elfu 9 tayari

Ndugu kuna watu nadhani wanashinda humu JF, nenda jukwaa lolote utamkuta anapambana ku post mavitu, hakuna linalompita, iwe siasa au jukwaa la wakubwa, jokes/udaku, kimataifa, biashara, hata u doctor na uanasheria utakuta yeye ni bingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…