Nimetimiza Thanks ya 100

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,520
Reaction score
6,517
Mimi ni mkristo, imeandikwa ni heri kutoa kuliko kupokea, leo nimetimiza thanks ya 100, nimeamua kumpa mtu ambae kwangu naona ametoa point nzuri sana (kwa kipimo changu), naye ni Mwanajamiione kwenye thread ya tatizo la LD. Salamu pia kwa Nyamayao ambaye naye kwangu mimi ni kati ya wake bora( na wengine wapo), sijawahi ona akijibu kwa hasira hapa JF, ila amepotea sana siku hizi.
 
Hongera, ila nilitaka kuuliza kama ni lazima mtu akianzisha post basi atangulize kusema dini yake?
 
hongera sana...!

mwanzo mzuri
 
kwa kweli.....mi sijaona sababu ya kutaja dini hapo....unless una lako jambo
 

Mimi nakubaliana na wewe kwamba sijawahi ona MwanajamiiOne, LD wala Nyamayao wakijibu kwa hasira.
MwanajamiiOne ndio nimemuona ktk thread nyingi sanaaaaa.
And that's the type of the woman I love most
 
kwa kweli.....mi sijaona sababu ya kutaja dini hapo....unless una lako jambo

Hata hivyo hiyo dini aliyoitaja haina effect yoyote ktk maelezo yake wala haimshambulii mtu. Nadhani ni fahari kwake kujitambulisha mkristo
 
Mi nlidhani miaka!Kumbe Thanks tu!??Haya hongera basi!
 
Hongera kwa umri uliofikia. Ni wachache sana wanaoweza kufikia hapo.
 
Tunashukuru mwaya kaka, vyovyote vile lakini tunaitambua furaha yako!!!
 
Mi nlidhani miaka!Kumbe Thanks tu!??Haya hongera basi!

Mimi mwenzenu nimefungia hapa nikidhani jamaa anajisifia kwamba ametimiza mademu mia moja aliokwishawalamba......!!!!
 
Mi nlidhani miaka!Kumbe Thanks tu!??Haya hongera basi!

mi pia nilistuka. Nikasema ngoja nije nikishauri hiki kikongwe kipumzike sasa.
Duh!
Haya hongera zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…