Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

Mimi nikifikisha mwezi kama sijapata ban huwa sijisikii vizuri.
 
mkuu kwani we huku umewahi ban?mbona huwa unacomment short and clear.

Hapana Viol mimi leo ni miaka 3 net, sijawahi kupata ban, ila nimetengeneza marafiki wengi.....
 
Last edited by a moderator:
Viol marafiki wanapatikaje kuomba au inakuaje?

mkuu wala hata siyo kuomba,mnazoea tu kwenye comments,baadaye pm,kupeana namba ndo tayari urafiki huo.
ila jihadhari na marafiki wa humu pia hizi id fake noma
 
Hongera sana Viol. Mie toka nimejiunga jf sijawahi kupata ban.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom