Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

hongera aisee, kumbe hata mimi ni mkongwe bhana...., nilikuwa sijawahi fikiria

we umejiung september 6 mi sept 15,tumepishana kwa siku
 
Ile nyingine bwanaaa....ushaisahau?
Halafu Mimi Nina ban moja tu humu....tens nilionewa lol...

Sina nyingine

ngoja nitaanzisha top 30 wa kupigwa ban humu
 
niachie mm nianzishe hayo mashindano hayo waonaje hilo bestito?

halafu mbona sijakuona kule mm kwenye shindano la kumsaka mwenye sura yenye mvuto na mwenye sura mbaya hebu nenda kapige kura yako kule kwani tunataka kumweka mshindi hapo kesho

mi kura nishapiga,nilimpigia Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom