Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

mkuu wala hata siyo kuomba,mnazoea tu kwenye comments,baadaye pm,kupeana namba ndo tayari urafiki huo.
ila jihadhari na marafiki wa humu pia hizi id fake noma

Ahaa kwenye ku comments anae ku quote unamlukia pm au?
Maana kama ww mwisho nilikuona jukwaa la liver ndo leo tena
Hembo niongeze kidogo au kama haipendezi waeza tupa pm huo ujanja
 
Ahaa kwenye ku comments anae ku quote unamlukia pm au?
Maana kama ww mwisho nilikuona jukwaa la liver ndo leo tena
Hembo niongeze kidogo au kama haipendezi waeza tupa pm huo ujanja

mkuu labda we unakesha jukwaa la sport,mi mmu nipo,celebrity nipo,photos nipo,hoja mchanganyiko nipo,karibia kila jukwaa labda tunapishana tu
 
mkuu labda we unakesha jukwaa la sport,mi mmu nipo,celebrity nipo,photos nipo,hoja mchanganyiko nipo,karibia kila jukwaa labda tunapishana tu

Nikweli twapishana kihiv nakuona kwenye post ambayo ctii neno hapo huezi jua kaa mm nilipitia na wewe itakua hivyo
 
hiyo avatar yake ni picha siku ya arusi yao ye na Ntuzu,yaani ameolewa kwa shingo upande

Wacha umbea wewe nani amesema nimeolewa kwa shingo upande?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom