MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
Haiishi utamu hiyo kwenye ndo a kuchapa au kuchapiwa kawaida jipime kama wewe nawe ulishawahi kuchapa nje jitulize mleee mutoto
haaaha
Haiishi utamu hiyo kwenye ndo a kuchapa au kuchapiwa kawaida jipime kama wewe nawe ulishawahi kuchapa nje jitulize mleee mutoto
Yaani mke kabisa mwenye maadili mpaka ufikie kucheat huwa ni ngumu sana kwanza aibu, kuna wengine mme anapita huku mke huku yaani kichwa hakina tofautibna mkiamie ntakuhukumiwa kwa mengine lakin si uaminifu kwa ndoa! yaan hata MUNGU mwenyew atasema hapana huyu alikuwa ana haki.......!
Yaani mke kabisa mwenye maadili mpaka ufikie kucheat huwa ni ngumu sana kwanza aibu, kuna wengine mme anapita huku mke huku yaani kichwa hakina tofautibna mkia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mme kaenda fumania bahati mbaya mgoni mbabe u nakula vitasa na mke ameshagegedwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]wana moyo sana aic! mi hata sishauri
Huyo mme kaenda fumania bahati mbaya mgoni mbabe u nakula vitasa na mke ameshagegedwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo amsamehe tu walee tu watotondo huyo mwanamke naemsemea akicheat hata MUNGU atamsamehe! maana aliwajibika kwa 100%
hii ni weak point kabsa hata mwanaume akikupenda kiukweli ukweli hachepuki akichepuka ujue mkewe amesababishauko sahihi pia!ila mwanamke aliekupenda kiukweli kweli kbs ..huwa hachepuki!...siku ukimskia kachepuka amini 100%huwa ni mumew kasabaisha!...hapa naomba jiathid kuelewa namuongelea yule mwanamke aliekupenda ila shurti yyt ile...achana na wale wnaoliliaga ndoa kwa kila namna! ngumu mno huyu kuchepuka....yaan hata atongozwe na mtu gan atamuona km kakake.....sema hamthaminigi wake wenu mkiona wanapenda !faulo zinaanza kutokea sasa
hii ni weak point kabsa hata mwanaume akikupenda kiukweli ukweli hachepuki akichepuka ujue mkewe amesababisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mpaka sasa bado hujafanya maamuzi magumu????? Kumbuka penz la kuiba ni tamu mnoo hawezi kuacha huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajaribu justify uovu wa wanawake katika kucheat.MBITIYAZA hilo neno wake wanabeba mizigo mikubwa sana mke anaweza wajibika kwa kila kitu lakini wababa hawathamini mwishowe ndiyo kama hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kasema anapata kila kitu anakunwa vizuri na kamuonya sasa hapo kuna haja ya kuomba ushauri kweli?wanwake wanafikia hapa kwaajil yenu nyie alafu mnaanza kusema afanye maamuz magum
Ana uhakika gani kama anamkuna vizuri? Na anaposema anapata kila kitu sisi tutaamini vipi?Jamaa kasema anapata kila kitu anakunwa vizuri na kamuonya sasa hapo kuna haja ya kuomba ushauri kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan utakua umetoka kwe fail relationship na unajaribu justify everything.. Pole mamawanwake wanafikia hapa kwaajil yenu nyie alafu mnaanza kusema afanye maamuz magum