Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Unapo patwa na tukio baya maishani kama lako jiulize je ninaweza kusamehe!? Ukipata jibu ndio basi samehe na endelea na mkeo!! 2008 nilipatwa na tukio kama lako nanmtoto alikua na 5 yrs kama yako ! Nilimuuliza mwanamke yule akanijibu walikubaliana! Sikumpiga nilianza kujipanga kubadilisha maisha yangu na mwanangu. Nilitafuta denti mmoja mzuri nikawa namuhudumia vzr na uroda nikawa napata vzr wife nilimtosa bila kelele. No sex wala nini zaidi ya matumizi ya chakula. Tulitengana rasmi baada ya miezi minane! Sasa ninamkenna mtoto mwingine na huyu akizingua Mie namtosa bila shida! Ukipatwa na mkasa hasa wanawake jipime kwanza na na usiwe na mke ukamuona yeye ndio kila kitu!!
 
Hadi sasa umejitahidi kutunza siri. Ila ushauri wangu tulia kama miezi mitatu kisha toa maamzi hutayajutia kamwe. Kwa sasa endelea na mambo yako na mupotezee kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiona thread kama hizi huwa nina shrink ghalfa. Nakata tamaa ya kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala mkuu, najua hakuna mwanamke mkamilifu lakin still there are other better women out there ambao hawawezi kukuaibisha na kukuonyesha umwamba mbele yako kwamba hata kama unamkanya lakini kesho yake anaenda kukuonyeshea kulala na mwnaaume mwingine. Huyu ni punguani mmoja tu hawez kuharibu image ya wanawake wote. Ni yeye mwenyewe tu na baadhi wenye tabia kama yake.

What goes around always comes around
 
binafsi kutoka sakafu ya moyo wangu,nikigundua Mke wangu anatoka nje na nimejiridhisha kwa kweli hapo kila mtu atafute pa kwenda
 
Wala mkuu, najua hakuna mwanamke mkamilifu lakin still there are other better women out there ambao hawawezi kukuaibisha na kukuonyesha umwamba mbele yako kwamba hata kama unamkanya lakini kesho yake anaenda kukuonyeshea kulala na mwnaaume mwingine. Huyu ni punguani mmoja tu hawez kuharibu image ya wanawake wote. Ni yeye mwenyewe tu na baadhi wenye tabia kama yake.

What goes around always comes around
Kwani alilala hadharani ???huoni mbinu alotumia kumbaini ???kila MTU akatumia mbinu hiyo hakuna mwanamke atakebaki salama .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala mkuu, najua hakuna mwanamke mkamilifu lakin still there are other better women out there ambao hawawezi kukuaibisha na kukuonyesha umwamba mbele yako kwamba hata kama unamkanya lakini kesho yake anaenda kukuonyeshea kulala na mwnaaume mwingine. Huyu ni punguani mmoja tu hawez kuharibu image ya wanawake wote. Ni yeye mwenyewe tu na baadhi wenye tabia kama yake.

What goes around always comes around
Inauma sana aisee. Binafsi mimi ni mgumu kusahau upuuzi kama huu, hapo amani inatoweka kabisa hata kama tukisuluhishwa, tena itakua kila nikimuona nakumbuka hilo tukio. Pia kutomfuatilia mwanamke hakuashirii kwamba hakuna usaliti. Kutomfuatilia mkeo ni kujitengenezea bomu. Magonjwa mengi sikuhizi. Sasa huo mchepuko wake atakua na future gani naye kuliko mume wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna vitu vinauma kwa mwanaume kama
1.kuchapiwa Mke wako
2.kubambakiziwa mtoto asie wako
nahisi maumivu ni zaidi ya kuingizwa mtoni
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Malaya uyo piga chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom