Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nandera, muache aoe na huyo mwengine akikaa nae miaka mitano akizingua na yeye anamtembeza. hivyo hivyo ila huyu mkewe amuache tena hafai. hatokuwa na amani asilan abadan
hahahaaaa.... mke si wangu wala si wako. Sisi tunapiga mavuvuzela tu ila mwisho wa mechi wewe au mimi tutaondoka uwanjani tumeshika tama au tukishangilia kulingana na matarajio yetu. Tuseme ya kwetu ila tuwaombee heri kwani wote mchepukwa na mchepukaji wanahangaika.
 
Kwa bahati mbaya sana kuachana na huyo mwanaume itategemea maamuzi ya huyo anayekut.ombea mkeo si vinginevyo. Yaani hawa wanawake baana ni pasua kichwa sana. Kaa na wazazi waeleze pamoja na kuwaonesha ushahidi ulio nao labda inaweza ikasaidia japo kidogo, lakini ukweli utabakia hivo tu
Wanadamu hawana msaada ni Mungu peke yake ndio msaada katika maisha yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nandera, muache aoe na huyo mwengine akikaa nae miaka mitano akizingua na yeye anamtembeza. hivyo hivyo ila huyu mkewe amuache tena hafai. hatokuwa na amani asilan abadan
hahahaaaa.... mke si wangu wala si wako. Sisi tunapiga mavuvuzela tu ila mwisho wa mechi wewe au mimi tutaondoka uwanjani tumeshika tama au tukishangilia kulingana na matarajio yetu. Tuseme ya kwetu ila tuwaombee heri kwani wote mchepukwa na mchepukaji wanahangaika. Amani haiji kwa kuacha au kubadili mke au kubaki naye bali kwa kubadili jinsi ya kutazama na kuchukulia mambo.
 
Msamehe mkeo, hayo ni makosa ya kawaida yanatokea. Jiulize je wewe umewahi kumsaliti, umewahi kutoka nje ya ndoa yenu? kama jibu litakuwa ndiyo usijaribu kumtupia mawe. Isipokuwa mweleze na kumwonyesha kuwa hukufurahia na hukupenda kabisa alichokufanyia na umsihi asirudie. muendelee na maisha. Kumbuka unaweza kumwacha huyu ukaangukia paliposhindikana
Ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua wengine wasema asimwache kwa ajili ya mtoto!.kigezo cha mtoto kwa mwanaume jasir na anayeheshim maamuz yake nazan huyo mtoto ataishi fresh tu ata kama ata mwacha huyo mwanamke!.Mie namsikitikia sana huyu mwanamme mwenzangu aliyetendwa kwan najua maumivu aliyo nayo.na hilo kovu daima halitaisha.Kwa mie ushaur wangu ammwage tuu aanze maisha mapya la sivyo atakuwa anaishi kwa hofu daima katika ndoa yake.Mungu katujalia maarifa na tuyatumie maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Amwache asimwache kovu litakaa pale pale. Kovu si jeraha bali alama baada ya jeraha kupona. Usipoamua kuponya jeraha hata mwenzi akifa kabisa hutapona. Utakuwa unaombea hata huko kaburini msaliti wako aadhibiwe na Mungu (shangazi yangu amefiwa na mumewe mwaka wa 9 huu lakini mara kwa mara akipita karibu na kaburi la mumewe anaongea maneno machungu ya kumlaani mumewe huko aliko kwa maumivu aliyomsababishia akiwa hai). Mwenzie ameshakufa na ndoa kufikia tamati lakini yeye kidonda bado kibichi kabeba kosa la marehemu msaliti moyoni. Talaka ni tatizo jipya linalojitegemea kwa hiyo ukiona una uwezo wa kuuguza majeraha mawili poa; ukiona una uwezo wa kuuguza jeraha moja na kuzuia la pili poa na ni vyema zaidi.
 
Wewe ukicheka na nyani utavuna mabua yaani umwache mwanamke bila kumchunguza mama weee haki ya mungu atagongwa na kila mmoja atarudi sa nane usiku wewe unacheka tu

Basi wewe utakuwa mwanaume bwege na mwanamke atazaa watoto watafanana kwa jirani duh!!

Umenishangaza mkuu eti umwache mwanamke kumchunguza we mwanamke unamjua vizuri!! Mwanamke kiumbe cha hatari sana anahitaji kuchungwa kama mtoto mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanaume wanaojifanya hawana wivu,ndio wale wakisalitiwa hutishia kujinyonga na mikwara kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida yawenzetuhawa wakishanogewa hawaludi nyuma mwanaume anawezakukumbuka familia. Kamahuwezi kuhimilivishindo nivema ukaachana nae asijekukutia matatizoni manakama umemkataza Leo keshoakafanya nidhahili humuwezitena nakibaya ukigombana naewewe huyomwezio anampataalifa naanapewaushaulihuko kwaiyo itakuangumu kumludisha mkaishi kamazamani

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Najiuliza mengi nakosa majibu, anyway wengine tutaoa mradi tupate watoto wa damu zetu pekee,
kwasababu kuoa si kumfanya Kiumbe huyu wa kike atulie ndani. Pole sana Mkuu maamuzi ni yako kumfukuza au kumsamehe.

"Supplanter"
Utashangaa utakapogundua na hao watoto sio wa damu yako[emoji42] [emoji30] [emoji79] [emoji81]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma huu uzi kwa makini nahisi kuumia sana utafikiri nimet.ombewa mimi...!
Ila sio siri siku nikajua kuwa mke wangu ameto.mbwa na lijamaa..!!!!! kudadadeck..!!!
Najua kuua ni kinyume cha sheria naweza kuishia jela, hivyo nikishindwa kumtwanga taraka pengine kwa kuhurumia watoto au labda kuna sababu flani ya kufanya nisimwache ok ila sintomsamehe mpaka nakufa bali ntaishi naye ila kuanzia siku hiyo (ntatembeza pira) ntagonga mademu mpaka atajuta kunifahamu!!! ntagonga house girl, na hata ndugu zake wa kike wakija hapo nyumbani nagonga, hata awe dadake,mamake mdogo hata mzazi akijipendekeza natwanga,
mademu wa karibu na hapo nyumbani,marafiki zake/wafanyakazi wenzake..yaani ataondoka mwenyewe tu..!!!
Nimecheka sana, kwamba kila aliyeko mbele yako unagonga, utakufa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitakiwa aambiwe na mkewe kua kwasababu hizi na hizi naweza kukusaliti,hii ingemsaidia mumewe kujirwkebisha kuliko kuanza kumsaliti kusirisiri,hii ni mbaya na haikubaliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anaekubali usaliti mkuu what happened jamaa anataka kujua afanyaje baada ya kujua mkewwe amemsaliti, kama hujui chanzo si its very possible kuja kumsaliti tena
 
Ingekuwa rahisi kidogo kumsamehe kama angesema sababu za yeye kufanya hivyo na kuacha..kama sababu ni kupitiwa na shetani,basi achana nae tu kwani shetani huwa haachi second chance na nyingine anapopata fursa ya kutupitia wanaadamu.
 
Hakuna anaekubali usaliti mkuu what happened jamaa anataka kujua afanyaje baada ya kujua mkewwe amemsaliti, kama hujui chanzo si its very possible kuja kumsaliti tena
Hakuna maneno ambayo yanaweza kuhalalisha usaliti,huyo mke alichofanya nikibaya sana,kama hataomba msamaha nakukaa na mumewe ili watatue tofauti iliyopo,hakika kitakachokuja kumpata endapo mumewe akitaka kuchukua hatua stahiki,hakuna atakayesimama hadharani kumtetea.

Kama huridhiki na mtu,achana nae kuliko kumsaliti nakuonekana mjinga ndani ya jamii na pia kwa yule unayeshirukiana nae kufanya usaliti.

Hakika naandika,mauaji ya wanandoa wasaliti hayatakuja kukoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna hatua nyingine ya kuchukua zaidi ya kuifutilia mbali hiyo ndoa...

Hatua nyingine itakayo chukuliwa tofauti na hiyo ni mbwembwe tu...

Huyo mwanaume anayetembea na mke wa jamaa nae atabadilisha mbinu, mke wake hata badilika labla huyo kidume kinacho mkaza mke wa jamaa achukue maamuzi ya kuacha nae
Mwambie asikie
 
Hakuna maneno ambayo yanaweza kuhalalisha usaliti,huyo mke alichofanya nikibaya sana,kama hataomba msamaha nakukaa na mumewe ili watatue tofauti iliyopo,hakika kitakachokuja kumpata endapo mumewe akitaka kuchukua hatua stahiki,hakuna atakayesimama hadharani kumtetea.

Kama huridhiki na mtu,achana nae kuliko kumsaliti nakuonekana mjinga ndani ya jamii na pia kwa yule unayeshirukiana nae kufanya usaliti.

Hakika naandika,mauaji ya wanandoa wasaliti hayatakuja kukoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote ni matokeo ya usalitu ushawah kujiuliza na wewe kwann amemsaliti whether sababu ni ya msing or not lazma ijulikane aisee
 
Back
Top Bottom