Huu ni ushauri murua kabisa.Mrudishe kwao kwa muda wakati unatafakari, Anapaswa kujua seriousness ya alichofanya, take your time,usiamue ukiwa na hasira, mshirikishe msimamizi wa ndoa yenu na ikibidi wazazi, pole ndio Ukubwa huo
sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
Mkuu pole sana.Kati ya vitu vilivyo vigumu vinavyo tingisha ubongo wa mwanaume ni swala hilo hasa wana ndoa.Mkuu usijute kujua maana hilo si jambo jema hata kidogo.Hawa wenzetu huwa hawana second thought haijalishi ni mema mangapi umemfanyia akiweka tu gear ya mbele,ni mpaka agote ndio angalie nyuma.Ni Mungu tu ndi atunusuru!
Hiyo ya kuonywa leo na kwenda kesho haijakaa poaHapana ..soma comment ya mdau lion cub hapa chini uelewe huyo ni mwanamke wa aina gani..
Ni silent killer. Hapo hamna cha machozi wala nini.. ni uongo tu..unakanywa leo ..kesho unaenda kufanya... like seriously ...hell no.
What goes around always comes around
Yaani hii kitu inauma acha kabisa mkuu, wanaohisi wanaweza kuvumiia haijawakuta. Niliwahi kuzifuma picha na conversation kwenye messenger nusura nidondoke nilikuwa nashuka ngazi kwenda ground floor. Inahitaji muda sana ku rwcover na kujenga hata 0.000001 ya uaminifu uliokuwepo mwanzobaadhi yawanawake ni mavampire mkuu
Ishu za mtoto kupata tabu hazina mashiko.ni wangapi wanazaliwa wanapoteza mama hapo hapo na wanakua fresh!?..Kikubwa mkuu huyo si mwanamke na ukiendelea kumng'ang'anie itakula kwako!.kwan hapo ulipo tayari umeshaingia kwa strees na hutakuja kuwa fit tena coz hlo ni donda la maisha na litakalo kutangukiza mbele za haki kama usipo simama kiume.Na shukuru muumba wako kwa kukuonyesha uchafu huo mapema.ukiendelea kumganda ndipo mungu huwa anasema tunaangamia kwa kukosa maarifa.aAah aisee inauma sana unaweza kwenda jela ivi ivi..haya mambo hayana ushauri unaeza ukamfukuza mkeo mwanao akapata tabu zaidi..
Yaani hii kitu inauma acha kabisa mkuu, wanaohisi wanaweza kuvumiia haijawakuta. Niliwahi kuzifuma picha na conversation kwenye messenger nusura nidondoke nilikuwa nashuka ngazi kwenda ground floor. Inahitaji muda sana ku rwcover na kujenga hata 0.000001 ya uaminifu uliokuwepo mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikileta maneno mengi hapa utachoka bule ilaWanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna mambo makuu mawili, 1.Mwanamke alipanga kumkomoa mume kwa sababu ambazo hatuwez kuzifaham kutokan na maelezo ya mtoa post, ndio maana akatoka nje ya ndo licha ya kuwa mwenza wake kamkanya tena masaa machache tu yaliyopit.a.Hiyo ya kuonywa leo na kwenda kesho haijakaa poa
Mwanamke sio muoga kabisaaaaa, sijui ni nyege kiasi gani alizokuwa nazo
All in all, namuonea huruma mtoto. . Utamwambia mama ameenda wapi? Au atarudi lini? Mbona aishi na nyinyi?
Pole sana ndugu;Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna mambo makuu mawili, 1.Mwanamke alipanga kumkomoa mume kwa sababu ambazo hatuwez kuzifaham kutokan na maelezo ya mtoa post, ndio maana akatoka nje ya ndo licha ya kuwa mwenza wake kamkanya tena masaa machache tu yaliyopit.a.
2. Huyo mke si mara yake ya kwanza kuchepuka na anapewa vitu vizuri huko nje kiasi kwamba yuko tayari ku take risk kubwa kiasi hicho licha ya kugundua mwenzake kashitukia usaliti wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yasikie tu kwa mwenzio lia yasikukute wewe.Ni mazito balaa, alichokisema mleta mada ndo ninachopitia mimi japo huyu ni mchumba wangu na tuko kwenye mipango ya kulipa mahari na kufunga ndoa lakini anaamua kuchepuka.Inauma saaaana,naandika haya huku nikilia machozi.Hiyo ya kuonywa leo na kwenda kesho haijakaa poa
Mwanamke sio muoga kabisaaaaa, sijui ni nyege kiasi gani alizokuwa nazo
All in all, namuonea huruma mtoto. . Utamwambia mama ameenda wapi? Au atarudi lini? Mbona aishi na nyinyi?
Hio ndo dawa mkuuHakuna adhabu kubwa kama kumnyamazia mtu ili hali anajua unajua anachokifanya.
Ningekuwa mimi, ningemwambia kwa upole kabisa kuwa "Nimefahamu kuwa unatembea na flani" halafu unamuonyesha naushahdi then humgombeshi wala kumkaripia unapotezea kabisa kana kwamba hujui kinachoendelea.
Baada ya siku mbili atajinyonga au atakimbilia kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu,kwa ushauri,kama n mchumba tu ameanza kuchepuka,you have to think twice if can qualify.Haya mambo yasikie tu kwa mwenzio lia yasikukute wewe.Ni mazito balaa, alichokisema mleta mada ndo ninachopitia mimi japo huyu ni mchumba wangu na tuko kwenye mipango ya kulipa mahari na kufunga ndoa lakini anaamua kuchepuka.Inauma saaaana,naandika haya huku nikilia machozi.
Sent using Jamii Forums mobile app