hizo ni akili za kitoto sana, yani ufanye umalaya kwa sababu mkeo ni malaya? yani akili zako zimeshikwa na mkeo? we utakua mvulana haki ya nani...
Wanaume huwa hatuna muda wa kuchunguza mkeo, kwanza ubize wa maisha uanze kuwaza mke wangu katiwa sijui simu yake anakua nayo karibu au mbali..unaanzaje? hizo kazi wanaweza wanawake pekee, ukiona we ni mwanaume na unatamani kumchunga mkeo huenda una hormones za kike na huenda mwisho wa mwezi unakuhusu (kisayansi ipo)
duuu kweli tunatofautiana ndiyo maana kuna wanawake wanazurura ovyo mitaani kumbe wanaume zao ndiyo kama ninyi
punguza ubusy bro sidhani ata kama utakuwa na muda wa kuwafuatilia watoto