Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

Unajaribu kumshawishi nani? Siku nyingine kama umechoka ulale tu na sio kuandika
 
I know unachoongea hata we mwenyewe hukijui. Yaani hujui kama unajibu swali au unafanya nini. Pole sana.

Aksante mkuu kwa kuwaaminisha watu kuwa sikijui ninachoongea wakati ambapo hata sijawahi kukuona. Sasa ka umeweza kunisikia ukajua kuwa sikijui niongeacho kila niongeapo na weye haupo then weye ni mungu na ndo tunabishania kuwa haupo kumbe upo. Awezaye kujua anacho ongea mtu bila yeye kuwepo hapo wala bila msaada wa kinasa sauti, nadhani ni mungu tu huyo.
 
Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu, wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, hakuna atendaye mema. Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu, aone kama yuko mtu mwenye akili, amtafutaye Mungu wote wamepotoka, wameoza wote pamoja, hakuna atendaye mema, la! Hata mmoja. Zabur 14: 1-3.
 
Hakuna mwenye ushahidi wa kuwapo kwa Mungu, si mitume si manabii si Mchungaji si shekhe hakuna. Kama kungekuwa na wenye UHAKIKA (siyo imani) angalau 10 tu dunia nzima basi hakika dunia isingekuwa kama ilivyo sasa. Ingekuwa paradiso ndogo. Kiufupi ni kuwa, hakuna kosa lolote Mungu angekiuka kama angejidhihirisha kuwa YUPO na wote tukajua kuwa YUPO. Kwanini hajidhihirishi? Ni kwa sababu hayupo.
 
Katika maisha yangu nimeshawahi kuona watu kama wewe wanaosema hakuna Mungu na life has no blah blah........

Kila mwanadamu anaruhusiwa kufikiri na kuwaza anavyotaka.

Mungu muumba Mbingu na Nchi hakulazimishi umwabudu. It's your choice. Your choice brother.

Nimeshuhudia watu kama wewe wanaumwa mpaka kulazwa hospitali. Mwisho wa siku inabidi aruhusiwe aende nyumbani. Huko nyumbani wanakuja watu na kukuambia mtumainie Mungu. Na wengi wenu hapo ndipo mnapozinduka. Japo it's too late lakini toba yako ya mwisho inakupeleka mbinguni.

Huyu Mungu. Watu wanamchezea weeeee, wanamkana weeee mwisho wa siku anawasamehe.

Huyu Mungu ni wa ajabu sana. Sana. Sana tu.
 
hamjui mliongealo waulize waliowahi kuugua magonjwa ya akili wakudhibitishie kuwa Mungu yupo tena hai.asante
 
kwa sababu maisha hayana maana basi hiyo ndio itakuwa maana ya maisha kutokua na maisha
according to your logic
 
Hakuna mwenye ushahidi wa kuwapo kwa Mungu, si mitume si manabii si Mchungaji si shekhe hakuna. Kama kungekuwa na wenye UHAKIKA (siyo imani) angalau 10 tu dunia nzima basi hakika dunia isingekuwa kama ilivyo sasa. Ingekuwa paradiso ndogo. Kiufupi ni kuwa, hakuna kosa lolote Mungu angekiuka kama angejidhihirisha kuwa YUPO na wote tukajua kuwa YUPO. Kwanini hajidhihirishi? Ni kwa sababu hayupo.
Kwahiyo unasema mungu hayupo kwa sababu angekuwepo ingetakiwa kila mtu ajue kuwa yupo?
 
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

......
Nawasilisha wadau.

Soma hapa Link The Quranic Arabic Corpus - Translation

Na angalia hii
 
Ona
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.

Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.

Nawasilisha wadau.[/QUOTE
Ona sasa na wewe umeleta mada isiyo na maana
 
Kichwa cha habari kinasomeka:
Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'
....
Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.
Kwenye post yako tunasoma "Life has no meaning"

Nikuulize suali moja kwa nini umeanzisha "thread" hii?
Unamaanisha nini kwa kuleta mada hii?

Hakuna mwenye ushahidi wa kuwapo kwa Mungu, si mitume si manabii si Mchungaji si shekhe hakuna. Kama kungekuwa na wenye UHAKIKA (siyo imani) angalau 10 tu dunia nzima basi hakika dunia isingekuwa kama ilivyo sasa. Ingekuwa paradiso ndogo. Kiufupi ni kuwa, hakuna kosa lolote Mungu angekiuka kama angejidhihirisha kuwa YUPO na wote tukajua kuwa YUPO. Kwanini hajidhihirishi? Ni kwa sababu hayupo.
 
"Be sure you put your feet in the right place, then stand firm"-Lincoln
 
Okay, kumbe ni a super state. Kama ni hivyo sawa. Nilijua ni 'being' mwenye mawazo na akili zaidi ya sisi. Kumbe ni super state which may mean a combination of gravitation force, centrifugal forces and the likes
Trust me, ukianza kujiuliza maswali kama hayo, ujue umeingia kwenye phase inaitwa spiritual awakening! You wont be satisfied until you get answers about a real meaning of life, who are you? why was you born? What's your purpose in this world and what is your destination! Keep asking youself so many question and soon u will start to understand as great truth is going to be unfolding to you! Keep going!
 
Umeanza kwa mbwembwe nyingi mwishoni pumba.... cyber criminal imekulinda wewe kosa hivyooo.... alafu matango poli uliolishwa yalikomaa kweli bila kumung'unya maneno unaropoka mungu hayupo shukuru ka-oxjeni unachokapata bila wasiwasi kangekuwa kataaabu ungeamini mungu yupo
 
Life is suffering. "Budha" Enjoyment is sufferring, crying is suffering, eatiung too much is suffering, starving is suffering, everything is sufferiinngggggggggggggggggggggggg!!!!!!!
 
Katika maisha yangu nimeshawahi kuona watu kama wewe wanaosema hakuna Mungu na life has no blah blah........

Kila mwanadamu anaruhusiwa kufikiri na kuwaza anavyotaka.

Mungu muumba Mbingu na Nchi hakulazimishi umwabudu. It's your choice. Your choice brother.

Nimeshuhudia watu kama wewe wanaumwa mpaka kulazwa hospitali. Mwisho wa siku inabidi aruhusiwe aende nyumbani. Huko nyumbani wanakuja watu na kukuambia mtumainie Mungu. Na wengi wenu hapo ndipo mnapozinduka. Japo it's too late lakini toba yako ya mwisho inakupeleka mbinguni.

Huyu Mungu. Watu wanamchezea weeeee, wanamkana weeee mwisho wa siku anawasamehe.

Huyu Mungu ni wa ajabu sana. Sana. Sana tu.
Unamtisha nani? Jibu hoja kwa hoja sio vitisho mkwara! If God would exist, I would be the one who worship him, even harder than anyone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom