NIMETHIBITISHA Hakuna kiwango cha Mafanikio kitakachomridhisha mwanadamu

NIMETHIBITISHA Hakuna kiwango cha Mafanikio kitakachomridhisha mwanadamu

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Haya maisha ya ajabu kitufulani kizuri ukiwa hauna unakitamania lakini ukikipata hicho unakiona cha kawaida .Kipindi kilichopita nilidhani nikifika kiwango fulani cha maisha ni ta enjoy sana lakini cha ajabu nimeshafikia kiwango hicho naona kawaida tu.

Mimi nadhani kiwango cha kufurahia maisha kwa wanadamu kipo sawa na wanao enjoy maisha ni watu wa hali ya wastani lakini WATU MATAJIRI SANA AU MASKINI SANA kiwango cha furaha kwao ni kidogo.Ukitaka ku enjoy maisha kuwa na maisha ya wastani usiwe tajiri sana au maskini .

Asikwambie mtu maisha ya wastani yana raha nyingi kushinda ya utajiri.IMETHIBITISHWA NA WATAALAMU.
 
Mkuu mwanadamu haridhiki wala hatosheki....hata Mungu aliomuumba ameshindwa kumridhisha
 
Ninakubaliana na wewe;
Moyo haushibi kila siku unatamani kuongeza;

Ni heri kuwa na maisha ya kawaida tu.
 
Pamoja na kuhangaika kote huku kwa kufikiria,kufanyakazi kwa bidii sijaona kabisa kitu ambacho nikikipata kitanifanya niwenafuraha ya kudumu.Furaha nazopata zinakuwa za muda mfupi tu baada ya hapo kawaida tu.Haya maisha haya sijui yanasiri gani .Kitu ambacho hauna unakaa katika hali ya kukitamania.Lakini ukikipata hicho unachokitamania unaona cha kawaida.Sijaona kabisa jambo linaloweza kuleta furaha ya kudumu moyoni.Cha msingi kufanya kazi,kupumzika,na kutafuta vitu mbalimbali vya halali vya kuliwaza akili basi.
 
Napenda maisha ya wastani. Kweli kabisa
 
Haya maisha ya ajabu kitufulani kizuri ukiwa hauna unakitamania lakini ukikipata hicho unakiona cha kawaida .Kipindi kilichopita nilidhani nikifika kiwango fulani cha maisha ni ta enjoy sana lakini cha ajabu nimeshafikia kiwango hicho naona kawaida tu.Mimi nadhani kiwango cha kufurahia maisha kwa wanadamu kipo sawa na wanao enjoy maisha ni watu wa hali ya wastani lakini WATU MATAJIRI SANA AU MASKINI SANA kiwango cha furaha kwao ni kidogo.Ukitaka ku enjoy maisha kuwa na maisha ya wastani usiwe tajiri sana au maskini .Asikwambie mtu maisha ya wastani yana raha nyingi kushinda ya utajiri.IMETHIBITISHWA NA WATAALAMU.

Mbona hujamtaja hata mtaalamu mmoja?Hata hivyo thread yako imejaa ukweli.
 
Ts pretty obvious,thts how we grow,and change is constant..
Avoid postponing hapiness ,saving it for the future,hapiness and life is now,LIVE IN THE PRESENT ALWAYS,coz thts what u have,kuna ile oh acha kile ili ufurahie badae,na badae ikaifika unasema badae tena till u die with a wasted life ,no fun at all...ofcz BALANCE is vital ,cz ukijisahau sana unaweza pitiliza anasa or kujinyima na wkt kesho ipo pia
 
Pamoja na kuhangaika kote huku kwa kufikiria,kufanyakazi kwa bidii sijaona kabisa kitu ambacho nikikipata kitanifanya niwenafuraha ya kudumu.Furaha nazopata zinakuwa za muda mfupi tu baada ya hapo kawaida tu.Haya maisha haya sijui yanasiri gani .Kitu ambacho hauna unakaa katika hali ya kukitamania.Lakini ukikipata hicho unachokitamania unaona cha kawaida.Sijaona kabisa jambo linaloweza kuleta furaha ya kudumu moyoni.Cha msingi kufanya kazi,kupumzika,na kutafuta vitu mbalimbali vya halali vya kuliwaza akili basi.

hamna furaha ya kudumu,maybe in heaven...hapiness is a constant concious pursuit in life..haitokei tu,inabd ujue nini kina kufurahisha then go for it,and choose happiness mara nyingi aidi
 
Maisha ya kitajiri yana shida gani? Mnajipa moyo kama waliokosa na kukata tamaa
 
Ngoja nikujibu uwena gari ya kutembelea uwe na nyumba,na kipato cha kutosha kuhudumia familia bado unaswali?

Asante kwa jibu. Kwa kuongezea, uwe hupiti kwa watu kuombaomba (hela) kila siku na wala humiliki magorofa kibao kariakoo
 
Life is Not a Destination its a Journey..., kwahio enjoy the ride; furaha au masikitiko hayatokani na kipato bali wewe mwenyewe, ingawa kukosa kipato cha kutosha inapelekea wewe kukosa baadhi ya vitu ambavyo ungependa kuwa navyo; hence kupunguza ile furaha ambayo huenda ungeipata...

Anyway...

Yesterday is
History Tomorrow is a Mystery Today is a Gift - That is why it is called THE PRESENT
 
Utajiri ni kuikinaisha nafsi yako tu. Ukijifunza kukinai utatosheka na ulichonacho na kitakupa furaha.
 
mimi ningependa kuja kuishi maisha ya kitajiri kuliko kawaida ili nione ubaya wake uko wapi..

haiwezekani mtu anasema maisha ya kitajiri ni mabaya wakati practically hajawahi onja utajiri!.. proving non sense!

live all lives so as to make sensible comparisons!
 
Back
Top Bottom