Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,518
- 42,653
Haya maisha ya ajabu kitufulani kizuri ukiwa hauna unakitamania lakini ukikipata hicho unakiona cha kawaida .Kipindi kilichopita nilidhani nikifika kiwango fulani cha maisha ni ta enjoy sana lakini cha ajabu nimeshafikia kiwango hicho naona kawaida tu.
Mimi nadhani kiwango cha kufurahia maisha kwa wanadamu kipo sawa na wanao enjoy maisha ni watu wa hali ya wastani lakini WATU MATAJIRI SANA AU MASKINI SANA kiwango cha furaha kwao ni kidogo.Ukitaka ku enjoy maisha kuwa na maisha ya wastani usiwe tajiri sana au maskini .
Asikwambie mtu maisha ya astani yana raha nyingi kushinda ya utajiri.IMETHIBITISHWA NA WATAALAMU.
Mkuu rejea kauli yako ya kwanza... heading na conclusion yako...
Umesema maisha uliyoyatamani ulipoyafikia hukuona raha yake.. Hapo hapo unasema binadamu haridhiki hapo hapo tena ukaja na slogan ya heri maisha ya wastani..
Hayo maisha ya wastani yapoje? Vipi maisha ya wastani hayazoeleki kiasi cha kutoona furaha?
contradictions!!!