southern boy
Member
- Jan 12, 2016
- 59
- 121
Kuna wakati nilikua nikiwaza juu ya kutengeneza kitu sana sana katika swala la Elimu. Sasa nimefanikiwa kutengeneza app like game inaitwa Endless mathematics quiz, ni app ambayo nimeiweka playstore itamchangamsha mtoto wa primary au o level au hata A - level katika hesabu za msingi (basic math) kwa kumpa hesabu za kujumlisha,kutoa na kuzidisha kwa sekunde mbili za kufikiria ili aweze kutoa jibu.
Mtu anaweza akapata maswali mengi awezavyo ila akikosa hapo ndipo game over na kuonyeshwa amepata ngapi.
Kwa mtoto huchangamsha akili katika hesabu na mkubwa pia anaweza kuitumia sababu it`s so fun to play. Unaweza ukampatia mwanao au mdogo wako hata kila siku ili aweze ku-stimulate skills in math. Pia anaweza akaicheza hata mkubwa.
Click link hapa chini ikupeleke playstore kudownload Endless Mathematics Quiz na pia naomba feedback nini cha kuboresha
Endless Mathematics Quiz - Android Apps on Google Play