Nimetendwa Dakika 10 zilizo pita

Nimetendwa Dakika 10 zilizo pita

Leo umetendwa kesho utatenda,,,

"life is a circle"[emoji12]
 
Pole sana, ila kila changamoto ina faida yake naiman utakua umejifunza kitu,
 
unahangaika na mapenzi wakati unaweza piga selfie kijana? piga selfie tu hapo nyege zote zinakata
 
Kwa sababu ulishatenda ukajiona mjanja, zamu yako kutetendwa imefika.


Unatenda na unatendwa kwa zamu eeeeeeeeeeh
 
Pole yako mkuu...kutenda na kutendwa ni sehemu ya maisha ya mahusiano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom