Nimetembea na shemeji yangu

aahaaa! kumbeeh! nilikuwa sijampata vyema mkuu stroke kweli itakuwa ni hayo matatu,usafiri,pesa,na ka uhandsome ka kishkaji.
umesahau mawili zaidi yaani mlevi na kitombi.
 
Acha Ulimbuken Bhas, Ameoza Huyo Na Umeukwaa, Sorry
 
Amelipiza kisasi kwa imani kuwa kaka yako ndie kamuambukiza HIV. Dah Mwanamke katili saaana huyo.

haaa haa haa haaa haa haa haa haa, hakujua alivyonenepa na kupendeza ni matokeo ya ARVS, am just joking
 
Khaa!! wiseboy kwani yale makanisa 50 uliyoahidi kujenga nchi nzima tayari?
 
Mkuu ulikumbuka condom kweli.... au ni mwendo wa akapela tu..
 
Hivi mtu huwa unajisikiaje unavyoona watu wanavyotumia nguvu nyingi kukushauri kitu ambacho unajua wazi kuwa ni cha uongo na umetunga......
Au huwa mnakaa sehemu na kutucheka ujinga...
Tubadilike wajameni watu wengi wanaitegemea JF kupata ushauri mbali mbali zenye miongozo maishani mwao...utunzi kama huu huwapelekea member kuliona kila jambo ni la masihara na kupelekea wahitaji ushauri kukosa ushauri....
TUBADILIKE...
 
shemeji shemeji uku wazima taa......

mlifaidi inaelekea.....na ili usijute inabidi urudie game zaidi na zaidi.......
 

Ungekuja kuniona nikupemushauri
 
huyu amekubali kukupa haraka hivyo ujue kuna mtego umewekewa mkuu lakini na wewe umezidi umalaya unamla mpaka shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…