Nimetapeliwa Sinza

ni shiddddah!
Ila transaction za siku hizi unatakiwa kumuwekea mtu hela kwenye account aisee. 6 milion cash money? no freaking way! hapo hadi atafute mwenye kujilipua na kitambulisho cha bank unakuwa walau ushajua pa kuanzia:target:
 

Nimeandika uzi huu ili watu wajifunze na waelewe kuwa kuna utapeli wa namna hiyo. Na kwa kuwa humu jamvini kuna watu tofauti naweza kupata mawazo nini cha kufanya
 
Tafuta mtu mwingine mpigieni dalali wa kwanza as if unataka nyumba maeneo ya sinza aonane na huyo mtu atembezwe hata nyumba 3anapomalizia tu mna fanya mawasiliano walipo una kwenda na polisi kabisa kamata peleka ndani na asitoke kwa gharama yeyote mpaka wamlete tapeli mwenzake.
 
ni shiddddah!
Ila transaction za siku hizi unatakiwa kumuwekea mtu hela kwenye account aisee. 6 milion cash money? no freaking way! hapo hadi atafute mwenye kujilipua na kitambulisho cha bank unakuwa walau ushajua pa kuanzia:target:

Kweli ila tatizo wabongo tushakuwa zaidi ya wanigeria yaani utapeli nje nje (alafu mtu akiiba au akitapeli anajiona mjanja.. eti ndio kupiga deal) matokeo yake watu uaminifu umekosekana hata wengine ambao ni geniune wanapata shida kufanya biashara. Na business bila credit au uaminifu ni ngumu.., ila shida hata ndugu yako ukimkopa siku hizi kurudisha utadanganywa mpaka uongo wote utaisha.., then mwisho wa siku ataanza kukukimbia. In short wabongo ni wa kuogopa
 
Pole sana mkuu...(ashakum si matusi )i nakushauri ubadili na jina...(no offense)..

HEKAYA ZA ABUNUASI?? Mimi naomba kutoa pole huku nikipita kimyakimya, maana nimeponea chupu chupu kuporwa simu na kukabwa na wahuni mchana kweupeee maeneo ya mtoni mtongani. halafu begi lilisheheni kila kitu muhimu kwangu. yaani nikikukuta unamtetea mwizi au tapeli nakuua hapo hapo!
 

Tumefanya jitihada hizo, tumemkamata dalali,akakaa ndani siku moja lakin akaachiwa na polisi, wao wanataka mtu aliyepokea hla
 
Haki ya nani poleni sana.Mie nina dada yangu ana bonge la jumba Tegeta anahangaika kutafuta mtu wa kuishi humo kwa miaka mitatu maana yeye anaenda kusoma.heeee wengine mnatapeliwa jamani kweli watu tunatofautiana.

Miaka 3 anatafuta mpangaji na anataka kwenda kusoma anasubiri mpangaji?? Hakyanani wewe nawe ni tapeli.
 
Pole sana kutapeliwa ni kutapeliwa tu, hata kama ingekua chini ya milioni moja

Usimuachie huyo mzee nenda nae hatua kwa hatua
 

Mkuu kila nikiwaza illegal ways za kumwadabisha tapel wangu, moyo unakataa kabisa ila najua nitamdata tu
 
hii signecha yako hii....
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia




Je, mwenyeenzi mungu mgawa riziki hajakujaalia sura nzuri hivi?
Pole sana kutapeliwa ni kutapeliwa tu, hata kama ingekua chini ya milioni moja

Usimuachie huyo mzee nenda nae hatua kwa hatua
 
hii signecha yako hii....
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia








Je, mwenyeenzi mungu mgawa riziki hajakujaalia sura nzuri hivi?

Sijijui mkuu, halafu mimi huwa sina muda wa kujiangalia kwenye kioo
 
Mmh hiyo nyumba ulionunua sinza kwa remmy kwa m6 mbona hata kibanda hakiuzwi hivyo au ulipanga sidhani kama sinza kuna nyumba ya m6 fafanua zaidi
 
Mkuu ulipoenda kuangalia hiyo nyumba na Fred kulikuwa na asset ndani? Coz muda mwingine ukiona vitu hivyo vinasidia kuhoji zaidi
 
Mtazamo!Mwenye nyumba halisi wa ile nyumba ya Sinza kumbe anaishi Arusha lakin huyu Fred alitupeleka kulipia Makongo juu kwenye nyumba tunaambiwa ni ya MOSHI Majungu alikuwa mchezaji wa zaman wa Yanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…