Hujui kuomba Jirani...😳mimi siombi? Au umekosea kuquote?.....nifungulie thread uone utakavyotrend.😉
😂 fungua kwani najaliHujui kuomba Jirani...
Anza kua omba omba thread faster...
Shukuru mungu hakuja amekupunguzia dhambi ya uzinifu, cku nyongine unatuma nauli kisha unapaka mkongo kabisaaaaa
Sent from my TECNO BD1 using JamiiForums mobile app



Huna ulichinikosea...😂 fungua kwani najali
Ila katika binadamu wanaonipa block wewe umezidi aisee...😂 fungua kwani najali
😂 😂😂🙄 hata ivo kuwa nawe inatakiwa uvumilivu sana,unachosha,unaumiza,unakatisha tamaaIla katika binadamu wanaonipa block wewe umezidi aisee...
Kha Kwa siku unaweza nipa block na Kuni unblock hata mara kumi...
hahahaha
Kwani upo na mimi jirani?😂 😂😂🙄 hata ivo kuwa nawe inatakiwa uvumilivu sana,unachosha,unaumiza,unakatisha tamaa
Ndiyo jiraniKwani upo na mimi jirani?
Basi naomba unitapeli jirani, ili akili inikae sawa... Jirani you are to sweet embu nipige tukio basi...Ndiyo jirani
Matukio yenyewe so ndo kukublock na unblock,kwan nina jipya sasaBasi naomba unitapeli jirani, ili akili inikae sawa... Jirani you are to sweet embu nipige tukio basi...
Nataka nikufumanie jirani...Matukio yenyewe so ndo kukublock na unblock,kwan nina jipya sasa
🤣🤣🤣🤣🤣😂 ndio Nauona leo huu uzi Nimechekaaaa 🤣🤣🤣!!hizo comments sasa lol
Onhoo,utaumia mbona....uzuri unanielewa jiraniNataka nikufumanie jirani...
Nikomeshe jirani...Onhoo,utaumia mbona....uzuri unanielewa jirani
Mi nataka utulie tu jaman,hata ukiwa na Mwingine but utulie....nipe njia bas nijitoe mhangaNikomeshe jirani...
Jilipue jiriani...Mi nataka utulie tu jaman,hata ukiwa na Mwingine but utulie....nipe njia bas nijitoe mhanga