Nimetapeliwa mwenzenu!

Mungu akulipe upuuzi wako?
 
Wewe utakuwa ulifaidi, hadi hujuti mkuu[emoji1787][emoji1787]itakuwa ulimfaidi mtanga. Watu humu mnainjoy sana...
Na nikampiga marufuku kuendelea kuwepo humu maana kuna mafisi... nina zawadi nae katulia tuli anafuata masharti mtanga wangu.
 

Mungu hawezi kukulipia kiboya hivyo, we hesabu hasara na songa mbele
 
Mungu akulipie kwenye maswala ya uzinzi? Labda Mungu wa Goliath
 
Ni kama aliniloga kwa sauti yake nyororo
Kuna vitu vya kulaumiana lkn sio swala hili mkuu,
Nyeg nazo zimechangia!
KINGINE DEM ANAJUA KUPANGILIA MANENO MATAMU WACHA KABISA,NADHANI HILI LITAKUA LIPOROFESHINO.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…