Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,835
Kwangu ni umbea tu.Huu sio umbea. Hata mimi nikigundua nyendo zisizofaa kwa shemeji yangu yoyote naenda kumwambia mwenyewe achukue tahadhari, potelea mbali.
Ila, kila mtu anaishi kulingana na mfumo wake.
Kwangu kuingilia maisha ya wengine kwa namna yoyote ile ni mwiko.