akifanya hivyo ataonekana ni Snitch sana na huyo mwanamke anaweza mkataa ili akamwambie mmewe kuendelea kuvuruga zaidi urafiki wao.Huna kosa ...kama mshikaji hajali muombe tu na wewe papuchi umle
[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha dharau mkuu alokwambia kuwa waislam hawajasoma ni nani hebu tuthibitishie hapa Leo tujue kuwa hao waislam hawajasoma
Daaahpole kwa msuto achana na watu wanaolala wote wakiwa uchi hujui nn wanapeana akiwa kifuani yote anayaongea halaf kingine asilimia nyingi ya wanaume hamna kabaroho
miss u pia best upoDaaah
Nilikumis hadi nikaumwa.
Nipomiss u pia best upo
Ila tu mwambie tu kiume jamaa yako aache ufala au labda kama ana ndoto za kuishi na malaya.habari za jumapili !
usiombe haya yakukute hata ungekuwa mbabe kama scopion lazima uwe mdogo kama sisimizi!
Nina rafiki mmoja tumeshibana sana yaani ni zaidi ya rafiki au naweza kusema ameshakuwa ndugu yangu!
Ana mpenzi wake ameshamvalisha pete kitambo tu kinachosubiriwa ni ndoa tu!
kiukweli yule mwanamke hajatulia kabisa ni zaidi ya mara moja nishamkuta katika mazingira sio mazuri tena wanaume tofauti na mapozi ya kimapenzi!kuna rafiki yangu mwingine aliendaga nae hadi mbeya akakaa nae wiki mzima huko yeye alienda kikazi.
niliamua kukaa kimya maana kuingilia mapenzi ya watu mwisho utaonekana mchonganishi nikanyamaza ili jamaa mwenyewe siku aje ajionee!
lakini ikawa inaniuma sana naona rafiki yangu pale anapotezewa muda tu nikaamua kujifunga mabomu nikamueleza nje ndani zote za mchumba wake!jana nimefika ofisini asubuhi naambiwa natafutwa na mwanamke [emoji15] huku jamaa wananiaglngalia dizaini flani!
haijapita muda hamadi shemeji huyu hapa hajanawa hata uso wala kupiga mswaki kanisimamia mbele
"haya nieleze lini nilikuuzia maana unasema mimi nauza"jasho lilitoka nikaanza kusweti balaa ikabidi niwe mdogo nikajitetea tu kwamba nililewa ili niue soo maana watu wa ofisini wakaanza kujipitisha wajue kuna nini?!daahhh yaani hapa najuta kumwambia msela nimeona namsaidia kumbe sikio la kufa haliskii dawa sina hamu
nimekua adimu kiasi chake ila tupo pamojaNipo
Tele wewe ndio umekuwa adim
Huu sio umbea. Hata mimi nikigundua nyendo zisizofaa kwa shemeji yangu yoyote naenda kumwambia mwenyewe achukue tahadhari, potelea mbali.Pia mwanaume kuwa mmbea mmbea nayo haiji kabisa.
Kwanza hilo la umbea wala halina jinsia.
Watu wangekuwa wanajali na kufanya yao na kuachana na ya wengine basi migogoro na mitafaruku hapa duniani ingekuwa michache sana.