Nimesutwa na mwanamke hadi nikawa mpole

Nimesutwa na mwanamke hadi nikawa mpole

Huyo jamaa atakuwa mvulana na sio mwanaume. Inaonekana huyo mwanamke kampanda kichwani.
 
Pia mwanaume kuwa mmbea mmbea nayo haiji kabisa.

Kwanza hilo la umbea wala halina jinsia.

Watu wangekuwa wanajali na kufanya yao na kuachana na ya wengine basi migogoro na mitafaruku hapa duniani ingekuwa michache sana.
It sound proper
 
Huyu rafiki yako ni poyoyo ila kuna siku atakuja kuujua ukweli, atalia kilio cha mbwa mdomo wazi but itakuwa too late............ back to you sasa, mapenzi hayashauriwi hata siku moja, hii kitu mapenzi iache iongee yenyewe maana waweza shauri ukaonekana kama unamuinea wivu jamaa. Ila pole maana ulikuwa unafanya with good intention.
 
nenda kamtie sound na wewe shuhuli iiishe
 
Inaboa sana mtu akimweleza mwenza haswa jambo kama hilo, hata kama alijitetea msichana huyo hakuwa na lazima ya kukutaja.

Ila muache alivyo endelea na maisha yako, siku moja atakukumbuka tu. Na usiongelee lolote juu ya mapenzi yao, hata akianza ongea mengine kama bado utapenda kuwa rafiki yake. Pia jua ueafiki wenu hautakuwa kama zamani hata iweje, na wewe kwao kama wakioana utapaona hauna uhuru tena. Huyu mwanamke umekuwa sumu kwake, lolote zuri baya usimsumulie huyo rafiki yako tena, sababu atamweleza na atatumia kukuumiza kwa ukweli uliomwambia mchumba wake.

Haya kaa na yako, umejifunza tho ulikuwa na nia njema.
yalishawahi nikuta haya.nkamtafuta yule dada kwa nia njema nkamjulisha bana huyo mwaanaume ni malaya kuna wenzio kibao huku unashea nao bwana so usijione umefika kisa kakutambulidha kwa dada ake tu.akaanza kujudai ohh umenitukana yani mi natumiwa tu??...ananipenda sana yule.
mi nkamwambia fanya uchunguzi mwenyewe...badal yake
akakimbilia kumpigia simu hapohapo anamuuliza,wakakutana lunch..wakaanz kuongea na kunishushua

after few months bidada akashika mimba na akadhani yupo peke ake aliebeba mimba so ana chance ya kuolewa na huyo jamaa..akapata taarifa kuna we.zie pia wana mimba ya huyo jamaa na wangharamiwa clinic had wajifungue...
so ikawa "sadakalawe amina...mwenyewe kupata apate..
hivi nnavotype hapa kaachwa singo maza...jamaa kavuta mwanmke mwingine kaoa tena kanisani...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yaan wewe hadi MMU bado unawaza mambo ya shekhe!!!!

Yaani umeniacha hoi
Kuna mtu kanitibua mkuu hata sijui kantibulia Jukwaa gani mpk nimechanganya post[emoji41]
 
Na wewe usingeomba mchezo, halafu upige zako kimya.
 
Mwanaume kuwa Mbea hata haifanani, eti unamsaidia.... Kwani ulisikia jamaa ako anakosa kitu?

If you don't know, it doesn't exist
 
Mazingira tunayoishi yameshatufanya tuwe na mentality mbovu,hamna utu wala kuaminiana,na hulazimu watu kupiga kimya huku wakimuona mwenzao anadumbukia shimoni.

Ulikuwa na nia njema lakini imekuponza,na hili nimeliona sana,hata ndugu wanaweza kujua kuwa dada yao ana tatizo lakini wakakaa kimya,wakasema watajuana wenyewe mbele ya safari.

Swali? Je tunajenga au tunabomoa
Hongera kwa hoja yako nzuri sana..Lin

Watu siku hizi hawana utu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom