hahahahah pole sanami nilimshauri afanye uchunguzi ila yeye kaenda kumwambia!na mimi nilifanya kumsaidia jamaa sio kwa nia mbaya!ila poa ndio nimekoma

Wanaume wengine story zikikata ndio umbea unazama...habari za jumapili !
usiombe haya yakukute hata ungekuwa mbabe kama scopion lazima uwe mdogo kama sisimizi!
Nina rafiki mmoja tumeshibana sana yaani ni zaidi ya rafiki au naweza kusema ameshakuwa ndugu yangu!
Ana mpenzi wake ameshamvalisha pete kitambo tu kinachosubiriwa ni ndoa tu!
kiukweli yule mwanamke hajatulia kabisa ni zaidi ya mara moja nishamkuta katika mazingira sio mazuri tena wanaume tofauti na mapozi ya kimapenzi!kuna rafiki yangu mwingine aliendaga nae hadi mbeya akakaa nae wiki mzima huko yeye alienda kikazi.
niliamua kukaa kimya maana kuingilia mapenzi ya watu mwisho utaonekana mchonganishi nikanyamaza ili jamaa mwenyewe siku aje ajionee!
lakini ikawa inaniuma sana naona rafiki yangu pale anapotezewa muda tu nikaamua kujifunga mabomu nikamueleza nje ndani zote za mchumba wake!jana nimefika ofisini asubuhi naambiwa natafutwa na mwanamke [emoji15] huku jamaa wananiaglngalia dizaini flani!
haijapita muda hamadi shemeji huyu hapa hajanawa hata uso wala kupiga mswaki kanisimamia mbele
"haya nieleze lini nilikuuzia maana unasema mimi nauza"jasho lilitoka nikaanza kusweti balaa ikabidi niwe mdogo nikajitetea tu kwamba nililewa ili niue soo maana watu wa ofisini wakaanza kujipitisha wajue kuna nini?!daahhh yaani hapa najuta kumwambia msela nimeona namsaidia kumbe sikio la kufa haliskii dawa sina hamu
Acha dharau mkuu alokwambia kuwa waislam hawajasoma ni nani hebu tuthibitishie hapa Leo tujue kuwa hao waislam hawajasomaNa sis wapagan je, tukilalamika patakalika kweli? Huyo sheikh atulie tu, waislamu wengi hawajasoma , wao wanajua quran tu, elimu dunia imewapita kushoto
Chezea the power of papuchi wewe! Polejamaa imebaki ananikwepa tu yaani kweli imaniuma kama mwanamke kweli anaweza kuvunja urafiki wetu wa siku nyingi
Bro najua watu watakuponda sana humu ila kwangu umefanya jambo sahihi, kuna jamaa yangu nae niliwah kuumpa habari za mchumba wake enzi ya uchumba wao jamaa akaniponda sana afu akafunga nae ndoa, kwa sasa nafikiri moyoni anomba Mungu atamke kuwa kuanzia Leo ndoa zote amezifuta Na atoe ruksa tuanze upya Jan 2017.habari za jumapili !
usiombe haya yakukute hata ungekuwa mbabe kama scopion lazima uwe mdogo kama sisimizi!
Nina rafiki mmoja tumeshibana sana yaani ni zaidi ya rafiki au naweza kusema ameshakuwa ndugu yangu!
Ana mpenzi wake ameshamvalisha pete kitambo tu kinachosubiriwa ni ndoa tu!
kiukweli yule mwanamke hajatulia kabisa ni zaidi ya mara moja nishamkuta katika mazingira sio mazuri tena wanaume tofauti na mapozi ya kimapenzi!kuna rafiki yangu mwingine aliendaga nae hadi mbeya akakaa nae wiki mzima huko yeye alienda kikazi.
niliamua kukaa kimya maana kuingilia mapenzi ya watu mwisho utaonekana mchonganishi nikanyamaza ili jamaa mwenyewe siku aje ajionee!
lakini ikawa inaniuma sana naona rafiki yangu pale anapotezewa muda tu nikaamua kujifunga mabomu nikamueleza nje ndani zote za mchumba wake!jana nimefika ofisini asubuhi naambiwa natafutwa na mwanamke [emoji15] huku jamaa wananiaglngalia dizaini flani!
haijapita muda hamadi shemeji huyu hapa hajanawa hata uso wala kupiga mswaki kanisimamia mbele
"haya nieleze lini nilikuuzia maana unasema mimi nauza"jasho lilitoka nikaanza kusweti balaa ikabidi niwe mdogo nikajitetea tu kwamba nililewa ili niue soo maana watu wa ofisini wakaanza kujipitisha wajue kuna nini?!daahhh yaani hapa najuta kumwambia msela nimeona namsaidia kumbe sikio la kufa haliskii dawa sina hamu
Hiyo jamaaa yako akili zake ni sawa na mchumba wake huyo, pole sana mkuu. Siku nyingine mambo ya ngoswe mwachie......habari za jumapili !
usiombe haya yakukute hata ungekuwa mbabe kama scopion lazima uwe mdogo kama sisimizi!
Nina rafiki mmoja tumeshibana sana yaani ni zaidi ya rafiki au naweza kusema ameshakuwa ndugu yangu!
Ana mpenzi wake ameshamvalisha pete kitambo tu kinachosubiriwa ni ndoa tu!
kiukweli yule mwanamke hajatulia kabisa ni zaidi ya mara moja nishamkuta katika mazingira sio mazuri tena wanaume tofauti na mapozi ya kimapenzi!kuna rafiki yangu mwingine aliendaga nae hadi mbeya akakaa nae wiki mzima huko yeye alienda kikazi.
niliamua kukaa kimya maana kuingilia mapenzi ya watu mwisho utaonekana mchonganishi nikanyamaza ili jamaa mwenyewe siku aje ajionee!
lakini ikawa inaniuma sana naona rafiki yangu pale anapotezewa muda tu nikaamua kujifunga mabomu nikamueleza nje ndani zote za mchumba wake!jana nimefika ofisini asubuhi naambiwa natafutwa na mwanamke [emoji15] huku jamaa wananiaglngalia dizaini flani!
haijapita muda hamadi shemeji huyu hapa hajanawa hata uso wala kupiga mswaki kanisimamia mbele
"haya nieleze lini nilikuuzia maana unasema mimi nauza"jasho lilitoka nikaanza kusweti balaa ikabidi niwe mdogo nikajitetea tu kwamba nililewa ili niue soo maana watu wa ofisini wakaanza kujipitisha wajue kuna nini?!daahhh yaani hapa najuta kumwambia msela nimeona namsaidia kumbe sikio la kufa haliskii dawa sina hamu
alitakiwa achunguze na sio kukimbilia kumwambia mchumbake huyo...ila kama kama huyo mwanamke tabia yake ndivyo ilivyo ipo siku jamaa atarudi kwako kukiri na anaweza kuchelewa sana kumwelewa tabia yake sana ,,,ila wazungu wanasema time will telljamaa imebaki ananikwepa tu yaani kweli imaniuma kama mwanamke kweli anaweza kuvunja urafiki wetu wa siku nyingi
Mkuu pole sana mimi hayo yashawai nikuta sema sijasutwa wala nini,unajua huwa inaumwa sana unapoona mwanaume mwezio anafanyiwa ivyoo,habari za jumapili !