Nimesomesha mchepuko nimepata matokeo chanya!

khee chineke miss chagga nitoe milion tatu? au umekosea ni laki tatu .. au sababu anachukua kwa mume wake ? chalii unaezeka nyumba yako na pesa za mwanaume mwenzio duh .. haya bana ndiyo wake wa siku hizi....
Miss chagga umenifanya nicheke sana! Chinekeeee! Mapenzi kitu mbaya sana. Anarudisha fadhila maana huyu ndiye aliyemwezesha. Kila siku tusisahau tulikotoka kuna leo na kesho. Ila kukumbushia hapo Mkuu alikosea bana kha!
 
nishawai kumsaidia dada mmoja na sikutaka malipo kutoka kwake ila cha ajabu dada kapata kazi tena nzuri kuliko yangu amefunguka nimuoe kwakuwa mie ndio chachu ya mafanikio yake basi sijampa jibu mpaka muda huu
 
Miss chagga umenifanya nicheke sana! Chinekeeee! Mapenzi kitu mbaya sana. Anarudisha fadhila maana huyu ndiye aliyemwezesha. Kila siku tusisahau tulikotoka kuna leo na kesho. Ila kukumbushia hapo Mkuu alikosea bana kha!
hapo kwenye kukumbushia ndiyo kaboa sana
 
Haaaaaaah, kumbe mke wangu alipokuja Dar tokea mkoani umemlamba na bado kakukatia pochi. Haya masihara sasa. Wacha namfuata huko huko atanieleza wasenzi kabisa ninyi.
 
Kuezeka ungetumia miaka mitatu??? Utakuwa mtumishi mtiifu Wa Umma
1453294118337.jpg mkuu nyumba yenyewe ndo hiyo. Me ni mjasiriamali tu,nna kipato lkn kwa vile ni nyumba ya kuishi sikutaka kuipeleka haraka. Zile hela nimenunua mbao za kenchi leo. Na zimegharimu millioni 2 na laki 3 na ushee! Siwezi kujenga nyumba ya kuishi nikamaliza hadi mtaji. Namsubiri anitumie tena leo kesho nifuate bati jeshini.
 
Hu
Wana MMU
Salaamu,

Me nimeoa miaka 18 iliyopita, kwenye hii mitandao ya kijamii nilibahatika kukutana na binti mmoja mwaka 2008. Wakati huo alikuwa kidato cha 6. Hapahapa Dar.

Kama ilivyo kawaida, tulianza kwa ku-chat kisha tukaonana na baadae nikaomba mzigo, haikuchukua muda sana nikapewa penzi. Tukaingia rasmi kwenye uhusiano tangu wakati.

Baada ya kumaliza masomo yake ya A-level, aliendelea na elimu ya juu katika chuo kikuu cha Dar es salaam. Kwa sasa amehitimu na anafanyakazi kwenye taasisi moja kubwa tu ya Serikali.

Wakati anasoma, nimemsaidia sana kwa kweli, sikuwa na namna ya kutomsaidia kwa jinsi nilivyokuwa namuona kama mtu mwenye maono na malengo. Kulikuwa na tatizo moja lililokuwa linanisumbua kipindi chote, hakujua kama NIMEOA!

Na kwa kweli aliamini nitakuja kuwa mumewe. Mwaka juzi 2014 aligundua kama mimi nina mke. Aliumia sana kwa kweli, lakini tuliongea nikaomba radhi na akanisamehe kwa sharti la kuwa ndugu tu, mapenzi tena hapana!

Nilikubaliana nae na akaomba nimruhusu akipata mtu aolewe..! Sikuwa na kinyongo nilimruhusu kwa moyo mweupe. Hatukuonana tena tangu siku hiyo, na mawasiliano yetu yalipungua sana! Mwaka jana mwezi wa 7 akanitumia picha za kitchen party, send-off na za harusi.

Nikampongeza kwa kuolewa. Yeye anafanyakazi mkoani lakini kaolewa na mume anayeishi Dar.

Mwezi wa 12 alikuja likizo, akaja hadi kwenye biashara yangu bila hata kunijulisha. Alikuwa amependeza sana, tuliongea mengi sana. Kuna sehemu najenga na alikuwa anaijua. Akaniuliza nimefikia wapi, nikamueleza, baadae tukaenda hadi kwenye jengo lenyewe. Nilikuwa nimemaliza kujenga lakini sikuwa tena na hela za bati.

Kwa vile ni nyumba ya kuishi, sikuwa na haraka nayo. Lakini alipoiona na nikamueleza jinsi nilivyo na hali mbaya, kuimaliza itachukua si chini ya miaka 3. Akaniahidi akirudi atanitumia hela kidogo niezeke. Baadae tukatoka si unajua tena hatukugombana ki-vileee! Haikuwa rahisi kuachana hivihivi. Tukaenda kukumbushia.

Jana alinipigia simu akaniambia leo atanitumia hizo hela. Kweli nimepokea leo milioni 3. Kwa kweli nimekosa hata maneno mazuri ya kumuelezea shukrani zake kwangu. Kesho pia ataingiza kama hizo. Nipo na fundi hapa hivi sasa ananipigia hesabu ya mbao na bati.

Kumbe yale maneno ya mapenzi au mchumba hasomeshwi, hayana ukweli. Wale mnaosomesha fungeni mkanda tu inalipa...!

Nawasilisha.
Huyo kakuta huko alikoenda dudumdebwedo, ndio kalikumbuka lazamani, jiandae hiyo nyumba ikiisha utakuta kahamia yeye
 
Hu

Huyo kakuta huko alikoenda dudumdebwedo, ndio kalikumbuka lazamani, jiandae hiyo nyumba ikiisha utakuta kahamia yeye
Hapana mkuu,hata km amekuta kila kitu kipo sawa,lkn maisha niliyoishi nae mimi lazima yatakuwa na nafasi kichwani mwake. Mkuu mimi mwenyewe kuna wakati mpaka nilihisi nilikosea kuoa. Nilishaanza kuwaza vitu vingine kabisa ni Mungu tu aliingilia kati.
 
''...Baadae tukatoka si unajua tena hatukugombana ki-vileee! Haikuwa rahisi kuachana hivihivi. Tukaenda kukumbushia...''

Hii sentensi tu ndio inanipa tafakuri mchana wa leo......
Ukioa mwanamke asiye bikira jua kunawenzio ambao huwajui na tusisahau ukifuga nyati,jua kuwa ipo siku atakumbuka msitu.
 
Fadhila ya hela sawa lakini hiyo ya kutoa penzi wakati ni mke wa mtu tayari ndiyo shida iliyopo.....
Mkuu sister tuacheni utani jamani,kuna mambo ni rahisi kusema kwenye maandishi lkn kwenye hali halisi hata wewe ungetoa tu mama! Me na yule tumetoka mbali.
 
Hapana mkuu,hata km amekuta kila kitu kipo sawa,lkn maisha niliyoishi nae mimi lazima yatakuwa na nafasi kichwani mwake. Mkuu mimi mwenyewe kuna wakati mpaka nilihisi nilikosea kuoa. Nilishaanza kuwaza vitu vingine kabisa ni Mungu tu aliingilia kati.

Yaani wewe unazidi kuniumiza tu hadi unaweka picha ya nyumba yako huku ukijitapa unasubiri mshiko toka kwa my wife wangu. Haki ya nani naomba mnishike naenda kuoa mwanaume mwenzangu siku si nyingi....aisee nikikukamata nakuoa mara saba dowezi wa wake za watu wewe.

Mke wa mtu sumu ati.... epuka hiyo mkuu
 
Mkuu sister tuacheni utani jamani,kuna mambo ni rahisi kusema kwenye maandishi lkn kwenye hali halisi hata wewe ungetoa tu mama! Me na yule tumetoka mbali.
Sijakataa na ndo mana swala la hela sijaona kama ishu ila ishu hapa na mke wa mtu......lazma aheshimu hilo.......na lazma ajiwekee limit kuwa pamoja na yote mzigo hautolewi tena......
 
Back
Top Bottom