hii njia imenisaidia sana, na nilijikuta nafaulu zaidi ya aliyenisimliaSipendi soma vitabu. English literature nilifaulu kwa kusimuliwa tu na mambo yakaenda. Anasoma mwingine afu anasimulia unachukua summary
Mkuu kuna audio book hizi nikwaajili ya wanaopenda kusikiliza zaid kuliko kusoma
Watu type yako ni wa kukaa nao mbali sana!Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.
Mara ya kwanza nilikua kama wewe.
Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.
Mara ya kwanza nilikua kama wewe.
Unadhani altitude peke yake ndiyo inayokufanikisha?Watu type yako ni wa kukaa nao mbali sana!
Attitude ya negativity kwa kila kitu ni sumu mbaya sana kwenye maisha.
Unafosi kwamba mtoa mada anamaneno bila matendo nawakati kaeleza mpaka vitendo sasa sijui unataka kuzungumzia nini.Unadhani altitude peke yake ndiyo inayokufanikisha?
Kuna watu wapo negative kabisa na kitu fulani lakini wanafanya sababu tu kila wakigusa kinawafanikisha. Lakini ukiwa altitude yao juu ya jambo hilo ni very negative ma hataki hata watoto wake au watu wengine wathubutu.
Ukitaka kufanikiwa put your hands in it, play it, expect the worse, vumilia mateso, utaanguka lakini amka.
Achaneni ma mambo ya kuwaambia watu close your eyes and make a wish, Life is not about making wishes but commitments.
Tuwe wakeeli tu katika eneo hili tunawa fail watu wengi sana sababu tunawasimulia mambo magumu kwa namna nyepesi.
Haha haha hatari sanaMotivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Hasty Generalization Fallacy, kushindwa wewe haimaanishi kila mtu atashindwa mkuu.Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.
Mara ya kwanza nilikua kama wewe.
Hapana, hicho sijapata nafasi ya kukisoma.Mkuu hongera sana kwa kusoma hivyo vitabu vyote kwa muda mfupi. Naona umepitia na vitabu vya jim rohn ulipata baati ya kusoma kitabu chake cha Cultivating an Unshakable Character ?
Trust me mkuu, nakuona jinsi unavyofanikiwa kuja kuwa motivational speaker mzuri sana. Hata jinsi ulivyo present hata mimi nimekukubaliHasty Generalization Fallacy, kushindwa wewe haimaanishi kila mtu atashindwa mkuu.
Kubali wewe umeshindwa, lakini usifanye hiyo kuwa sheria ya dunia nzima.
Ila si general D, ni GNLD. Hawa ni watata, ni kama pyramid programs ambazo wanaoanza hufaidika na kuwaacha wale wengi wa chini gizani wasijue la kufanya.Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Shukrani kwa kunirekebisha, maana nimezoea kuwaita hivyo hivyo kwa jinsi nisivyowapenda wanavyowaumiza watu kwa hiari yao waumizwa.Ila si general D, ni GNLD. Hawa ni watata, ni kama pyramid programs ambazo wanaoanza hufaidika na kuwaacha wale wengi wa chini gizani wasijue la kufanya.
Sahihi kabisa mkuu alianza kuuza ice cream miaka ya 1980s...Bakhresa hakuwa bilionea ndani ya siku moja,
Na mimi lazima nitakuwa bilionea,
Nukuu na utunze haya maneno.
Vitabu vya nakala nguvu huwa naviandika na kuvichora ninapokuwa nasoma, ili kuwa rahisi kufanya rejea baadaye. Hivyo huwa siazimi.Niazime nakala ngumu.