Nimesoma nae kidato kimoja,sasa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimesoma nae kidato kimoja,sasa....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KASSEMBE, Jan 28, 2012.

 1. K

  KASSEMBE Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nlikuwa na mpenz wang ambae nmedm nae kwa miaka mng,wakat namalza kdato cha 6,na yeye ndo alikuwa anamalza chuo cha ualm,kzazaa kmetokea mara baada ya yeye kpangiwa mkoa jiran na kwetu,na kjj alchopangiwa hakna ht netwek,kwa hyo cna comncation nae tena,ukwel bado nampenda,shle anayofndsha cifaham,wana MMU,nfanyaje?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Daaah umesoma wapi wewe?
   
 3. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ahsante nilitaka nimwambie hivyo hivyo..... mod naomba kama mnaniruhusu niwe nikiona lugha za namna hii nabonyeza report abuse, naomba ruhusa nitawaleta wengi kweli..... hawa watoto wa shule kazi kweli kweli!!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Fanya iwe kidato kimoja mpaka KIJIJI KIMOJA ili msihitaji netiweki.
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Huna hata haja ya kuomba ruhusa. Kiuungwana tu unaweza kumkanya mara moja, akiendelea bonyeza abuse. Mods wameruhusu hilo.
   
 6. K

  KASSEMBE Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  im not mtoto wa shule men,nna maisha yang,understand,iyo six n longtym ndo nmemalza.
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ushauri hauhitajiki kwenye kila jambo unless tunataka tuendeshwe kwa auto-pilot sasa
   
 8. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nenda kaweke mnara,
   
 9. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kha lugha zingine hata kiswahili kinakuwa kigumu kuandika
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Dah yaani umejiunga JF ili uonyeshe ufundi wako wa kufupisha maneno, kama vipi editi hiyo post yako ili ieleweke vizuri.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Jifunze kuandika kwa ufasaha....


  :focus: Nenda kamtembelee huko kijijini...
   
 12. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  aisee distance kwenye mapenzi ni issue ukiongezea lack of mawasiliano imekula kwako.....we jitose nenda kamtafute
   
 13. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  andika vizuri acha kiburi
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kassembe! Acha ubishi ....
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! Majibu ya humu jamvini!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nimeamini ujinga ni ujinga sana

  uandishi wako wa vifupi siupendi kama nini.

   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hajui hata kijiji anachofundisha kinaitwaje.

  Ni sawa na mtu kuuliza njia ya kwenda popote.
  Si aende tu popote maana hajui aendako.

   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hakuna dhambi yoyote kama ukikubali kukosolewa na ukarekebisha makosa yako!! Lugha uloandika ni sawa na watoto wa form two wanaotumikia message za cheka time, so usiwe mbishi sana hata kama ni mtu mzima na una mkwanja wako!!
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Hamia Airtel
   
 20. S

  Shansila Senior Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teknolojia ya simu imekuja majuzi tu!kwani kabla ya hapo tulikuwa tunawasiliana vipi?Kama kweli wewe ni old boy basi utakuwa unajua cha kufanya,nunua karatasi ya maua stationery,andika barua peleka posta subiri majibu!au nenda mwenyewe.
   
Loading...