Nimesitisha kumuombea Rais

Nimesitisha kumuombea Rais

Alipochaguliwa tu alitusihi Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, makabila yetu na dini zetu tumwombee, kwa kile alichosema alichokikuta kule kilihitaji maombi.

Kweli kama Mtanzania nilianza maombi ya nguvu, nilitenga siku moja ya mwezi kufunga kwa ajili yake nikijua kazi aliyonayo ni ngumu na ya hatari.
Pamoja na kufanya hivyo, leo takriban mwaka unakwisha bila kuona faida ya maombi yangu. Maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu afadhali ya mwaka jana.

Katika maombi yangu nilitegemea atakuwa rais wa wanyonge kama alivyoahidi.
Nilitegemea atakuwa rais wa vyama vyote, dini zote na makabila yote kama alivyoahidi. Nilitegemea rais atakuja kuwapata mikopo wanafunzi wote kama alivyoahidi.

Nilitegemea maombi yangu yatambadili na kutawala kwa haki kwa kufuata utawala wa sheria, rule of law. Nimesubiri ahadi yake ya ajira kwa vijana kama alivyoahidi, matokeo yake kaajiri vijana kwa kuangalia ukada na mbaya zaidi kaajiri vijana wenye ukakasi mbele ya jamii.

Matokeo ya maombi yangu ni kusitishwa kwa ajira, kunyanyaswa kwa watumishi wa umma kwa kisingizio cha kuhakiki wafanyakazi hewa.
Maombi yangu yamesababisha wafanyabiashara kunyanyaswa kwa kuongezewa kodi zisizo na ulazima.

Nilitegemea madawa yataongezeka mahospitalini, matokeo yake hata dawa ya chanjo kwa watoto imekosekana. Naona kama maombi yangu yanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwanini basi niendelee kuomba?

Kama mwaka jana niliishi vizuri, watoto walisoma bila kumwombea rais aliyekuwepo, ajira zilikuwepo wafanyakazi walipanda madaraja bila kumwombea rais aliyekuwepo, wanafunzi walipata mikopo tena wote bila kumwombea rais aliyekuwepo, kuna sababu gani basi kuendelea kumwombea aliyepo?

Nimestisha maombi.

Ni uamuzi wangu sijashinikizwa na mtu.

Quinine.
Nakushauri uanze kuomombea mabaya
 
sasa kama unabishana na Neno la Mungu juu ya Taifa lake teule, wewe utakuwa shetan ambae anauwa watu kwa siri alafu anakuja kuomba aombewe!
Bora niwe shetani tu kama ni kuwaombea wanyamahanga (chasaka) mm sipo tayari.W wewe endeleaga kuwaombea tu.Ila kama wewe unadai wao ni taifa teule la Mungu basi wewe ni kinyume chake.
 
Kama naanza kukuelewa vile
 
Bora niwe shetani tu kama ni kuwaombea wanyamahanga (chasaka) mm sipo tayari.W wewe endeleaga kuwaombea tu.Ila kama wewe unadai wao ni taifa teule la Mungu basi wewe ni kinyume chake.
Ni vizr kama unajijua wewe ni shetan so endelea na endeleeni na ushetan wenu wa kudhurumu Haki za watu wake na Mengne kwa kisingzio cha Mamlaka, but Mjue Mungu hadhihakiwi, soon Hasira ya Mungu Mtaiyona na mmesha anza Iyona, then Kuhusu Israel sijasema mim bali ni Neno lake Mwenyewe!
 
Hujitambui wewe!! Acha kumkashifu MUNGU.

Mungu yupi? Come on Mungu is not universal. Kila mmoja ana Mungu wake. Wewe ndiye hujitambui. Oxygen, O2, example, ni moja, Oxygen is a concept, but not Mungu.
 
Alipochaguliwa tu alitusihi Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, makabila yetu na dini zetu tumwombee, kwa kile alichosema alichokikuta kule kilihitaji maombi.

Kweli kama Mtanzania nilianza maombi ya nguvu, nilitenga siku moja ya mwezi kufunga kwa ajili yake nikijua kazi aliyonayo ni ngumu na ya hatari.
Pamoja na kufanya hivyo, leo takriban mwaka unakwisha bila kuona faida ya maombi yangu. Maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu afadhali ya mwaka jana.

Katika maombi yangu nilitegemea atakuwa rais wa wanyonge kama alivyoahidi.
Nilitegemea atakuwa rais wa vyama vyote, dini zote na makabila yote kama alivyoahidi. Nilitegemea rais atakuja kuwapata mikopo wanafunzi wote kama alivyoahidi.

Nilitegemea maombi yangu yatambadili na kutawala kwa haki kwa kufuata utawala wa sheria, rule of law. Nimesubiri ahadi yake ya ajira kwa vijana kama alivyoahidi, matokeo yake kaajiri vijana kwa kuangalia ukada na mbaya zaidi kaajiri vijana wenye ukakasi mbele ya jamii.

Matokeo ya maombi yangu ni kusitishwa kwa ajira, kunyanyaswa kwa watumishi wa umma kwa kisingizio cha kuhakiki wafanyakazi hewa.
Maombi yangu yamesababisha wafanyabiashara kunyanyaswa kwa kuongezewa kodi zisizo na ulazima.

Nilitegemea madawa yataongezeka mahospitalini, matokeo yake hata dawa ya chanjo kwa watoto imekosekana. Naona kama maombi yangu yanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwanini basi niendelee kuomba?

Kama mwaka jana niliishi vizuri, watoto walisoma bila kumwombea rais aliyekuwepo, ajira zilikuwepo wafanyakazi walipanda madaraja bila kumwombea rais aliyekuwepo, wanafunzi walipata mikopo tena wote bila kumwombea rais aliyekuwepo, kuna sababu gani basi kuendelea kumwombea aliyepo?

Nimestisha maombi.

Ni uamuzi wangu sijashinikizwa na mtu.

Quinine.

Kama maombi yako yanakubaliwa Si uwaombee hao waliokosa mikopo wapate direct Na wasio Na pesa wapate, ujiombee Na wewe ujinga ukutoke halafu uone Kama Sir God atakysikia.
 
Alietunga wimbo wa tutaisoma namba apewe tuzo.
Afu huu wimbo mara ya kwanza kuusikia niliona unatutukana watz wazi wazi,ila baadae nilihis ccm wameamua kuukubal ili wasim-dissapoint komba,lakin alipokufa bado wakaendelea kuupga,tena kuna mwingne anaimba "ccm ni ile ile,ooo ni ile ile" lakin watz mambulula cjui huwa hatusikiliz maneno,tunasikilza mdundo tu
 
Kama maombi yako yanakubaliwa Si uwaombee hao waliokosa mikopo wapate direct Na wasio Na pesa wapate, ujiombee Na wewe ujinga ukutoke halafu uone Kama Sir God atakysikia.
Maombi yangu yangekuwa yanakubaliwa Rais asingetenda anavyoyenda leo.

Ndiyo maana nimestisha.
 
Alipochaguliwa tu alitusihi Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, makabila yetu na dini zetu tumwombee, kwa kile alichosema alichokikuta kule kilihitaji maombi.

Kweli kama Mtanzania nilianza maombi ya nguvu, nilitenga siku moja ya mwezi kufunga kwa ajili yake nikijua kazi aliyonayo ni ngumu na ya hatari.
Pamoja na kufanya hivyo, leo takriban mwaka unakwisha bila kuona faida ya maombi yangu. Maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu afadhali ya mwaka jana.

Katika maombi yangu nilitegemea atakuwa rais wa wanyonge kama alivyoahidi.
Nilitegemea atakuwa rais wa vyama vyote, dini zote na makabila yote kama alivyoahidi. Nilitegemea rais atakuja kuwapata mikopo wanafunzi wote kama alivyoahidi.

Nilitegemea maombi yangu yatambadili na kutawala kwa haki kwa kufuata utawala wa sheria, rule of law. Nimesubiri ahadi yake ya ajira kwa vijana kama alivyoahidi, matokeo yake kaajiri vijana kwa kuangalia ukada na mbaya zaidi kaajiri vijana wenye ukakasi mbele ya jamii.

Matokeo ya maombi yangu ni kusitishwa kwa ajira, kunyanyaswa kwa watumishi wa umma kwa kisingizio cha kuhakiki wafanyakazi hewa.
Maombi yangu yamesababisha wafanyabiashara kunyanyaswa kwa kuongezewa kodi zisizo na ulazima.

Nilitegemea madawa yataongezeka mahospitalini, matokeo yake hata dawa ya chanjo kwa watoto imekosekana. Naona kama maombi yangu yanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwanini basi niendelee kuomba?

Kama mwaka jana niliishi vizuri, watoto walisoma bila kumwombea rais aliyekuwepo, ajira zilikuwepo wafanyakazi walipanda madaraja bila kumwombea rais aliyekuwepo, wanafunzi walipata mikopo tena wote bila kumwombea rais aliyekuwepo, kuna sababu gani basi kuendelea kumwombea aliyepo?

Nimestisha maombi.

Ni uamuzi wangu sijashinikizwa na mtu.

Quinine.
Sijui ni dini gani hiyo usichopata kile ulichokuwa unaomba katika maombi unaacha kuomba!
 
Jaman homa ya akili ni tofauti kidogo na mapepo maana pepo zitapugwa na kuisha ila homa ya akili inakuganda kama luba
 
Sijui ni dini gani hiyo usichopata kile ulichokuwa unaomba katika maombi unaacha kuomba!
Inategemea unaomba nini, kama ni uzima wa milele siwezi kuacha.

Halafu maombi yana kipindi chake kikiisha yanakuwa irrelevant.
 
Kumuombea Jamaa ni sawa na kuombea ISIS iendelee kuimarika...
 
Ujue Watanzania husali zaidi ya miaka hamsini ili mambo yaende lakini ndo yanadumaa, tusipende kutumia maneno matakatifu kuhalalisha ujinga, vitu vingine vinahtaji actions zaidi tusiwe ka wajima kusali tu huku hatutaki kutekeleza majukumu yetu, hapo itakuwa kupoteza mda na kumwomba mungu baali asiyejibu.
Nimekukubali, facts za maana
 
Huyu atakua mfuasi wa Kakobe anae shinda kuomba kanisani akisubiri ugali utashuka kutoka mbinguni kama walivyo fanyiwa Waiziraeli enzi hizo.
Mambo hayo hayapo we kaa ukiomba kinafiki uone kama ujanyooka
 
Back
Top Bottom