- Thread starter
- #61
43:26 "Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako".ISAYA 43: 26
Aliyeona Huo Msitari Atusomee!!
43:26 "Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako".ISAYA 43: 26
Aliyeona Huo Msitari Atusomee!!
Una maana rais aliomba kuombewa na shetani au unawafananisha Watanzania na shetani, waombe radhi.Hivi kuna haja gani kuombewa na Shetani. Wengine dua zao zinakuwa kama za kuku kwa mwewe
Huyu tukimuombea ndio anazidi kuwa kama shetani mkuu Lucifer. roho mbaya,visasi,kejeli,kiburi na vitisho.miungu ya ghamboshi imetuzidi ujanja.Hivi kuna haja gani kuombewa na Shetani. Wengine dua zao zinakuwa kama za kuku kwa mwewe
Serikali Imetugeuka Mkuu Tunaikumbusha Tunahojiana Nayo Ila Imekuwa Mbogo Haitusikilizi Inajifanyia43:26 "Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako".
Alietunga wimbo wa tutaisoma namba apewe tuzo.
Huo utakua ni umamluki waisraeli waliwahi lini kutombea?Kama unaamini waisraeli ndiyo bora kuliko Tanzania nenda kaishi huko.Mkuu Quinine Nimekupenda bure! Maamuzi yako yanakutoa kwenye laana, ya kuombea vitu batili kwa Mungu, Bora ukaiombea Israel utapata baraka kwa Mungu, kuliko kupoteza muda kumwombea uchwara
Ashafariki ni hayati captain John KombaAlietunga wimbo wa tutaisoma namba apewe tuzo.
mbona hata sisi huku bado? na mimi nimesitisha huduma ya maombiKama wewe hujapata kuna wenzio tayari. Subiri zamu yako. Usikate tamaa
Wewe unadhani shetani anafurahia jinsi Mungu anavyobariki Tanzania? La hasha! Anafurahia anapoona akina Kwinini wanakata tamaa wakati wengine wanaendelea kutukuza taifa lisilo lao.Ngonipost: 18164328 said:Mkuu Quinine Nimekupenda bure! Maamuzi yako yanakutoa kwenye laana, ya kuombea vitu batili kwa Mungu, Bora ukaiombea Israel utapata baraka kwa Mungu, kuliko kupoteza muda kumwombea uchwara
Alipochaguliwa tu alitusihi Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, makabila yetu na dini zetu tumwombee, kwa kile alichosema alichokikuta kule kilihitaji maombi.
Kweli kama Mtanzania nilianza maombi ya nguvu, nilitenga siku moja ya mwezi kufunga kwa ajili yake nikijua kazi aliyonayo ni ngumu na ya hatari.
Pamoja na kufanya hivyo, leo takriban mwaka unakwisha bila kuona faida ya maombi yangu. Maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu afadhali ya mwaka jana.
Katika maombi yangu nilitegemea atakuwa rais wa wanyonge kama alivyoahidi.
Nilitegemea atakuwa rais wa vyama vyote, dini zote na makabila yote kama alivyoahidi. Nilitegemea rais atakuja kuwapata mikopo wanafunzi wote kama alivyoahidi.
Nilitegemea maombi yangu yatambadili na kutawala kwa haki kwa kufuata utawala wa sheria, rule of law. Nimesubiri ahadi yake ya ajira kwa vijana kama alivyoahidi, matokeo yake kaajiri vijana kwa kuangalia ukada na mbaya zaidi kaajiri vijana wenye ukakasi mbele ya jamii.
Matokeo ya maombi yangu ni kusitishwa kwa ajira, kunyanyaswa kwa watumishi wa umma kwa kisingizio cha kuhakiki wafanyakazi hewa.
Maombi yangu yamesababisha wafanyabiashara kunyanyaswa kwa kuongezewa kodi zisizo na ulazima.
Nilitegemea madawa yataongezeka mahospitalini, matokeo yake hata dawa ya chanjo kwa watoto imekosekana. Naona kama maombi yangu yanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwanini basi niendelee kuomba?
Kama mwaka jana niliishi vizuri, watoto walisoma bila kumwombea rais aliyekuwepo, ajira zilikuwepo wafanyakazi walipanda madaraja bila kumwombea rais aliyekuwepo, wanafunzi walipata mikopo tena wote bila kumwombea rais aliyekuwepo, kuna sababu gani basi kuendelea kumwombea aliyepo?
Nimestisha maombi.
Ni uamuzi wangu sijashinikizwa na mtu.
Quinine.
sasa kama unabishana na Neno la Mungu juu ya Taifa lake teule, wewe utakuwa shetan ambae anauwa watu kwa siri alafu anakuja kuomba aombewe!Huo utakua ni umamluki waisraeli waliwahi lini kutombea?Kama unaamini waisraeli ndiyo bora kuliko Tanzania nenda kaishi huko.