Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
M namuombea aguswe na shida za watanzania
Alipochaguliwa tu alitusihi Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, makabila yetu na dini zetu tumwombee, kwa kile alichosema alichokikuta kule kilihitaji maombi.
Kweli kama Mtanzania nilianza maombi ya nguvu, nilitenga siku moja ya mwezi kufunga kwa ajili yake nikijua kazi aliyonayo ni ngumu na ya hatari.
Pamoja na kufanya hivyo, leo takriban mwaka unakwisha bila kuona faida ya maombi yangu. Maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu afadhali ya mwaka jana.
Katika maombi yangu nilitegemea atakuwa rais wa wanyonge kama alivyoahidi.
Nilitegemea atakuwa rais wa vyama vyote, dini zote na makabila yote kama alivyoahidi. Nilitegemea rais atakuja kuwapata mikopo wanafunzi wote kama alivyoahidi.
Nilitegemea maombi yangu yatambadili na kutawala kwa haki kwa kufuata utawala wa sheria, rule of law. Nimesubiri ahadi yake ya ajira kwa vijana kama alivyoahidi, matokeo yake kaajiri vijana kwa kuangalia ukada na mbaya zaidi kaajiri vijana wenye ukakasi mbele ya jamii.
Matokeo ya maombi yangu ni kusitishwa kwa ajira, kunyanyaswa kwa watumishi wa umma kwa kisingizio cha kuhakiki wafanyakazi hewa.
Maombi yangu yamesababisha wafanyabiashara kunyanyaswa kwa kuongezewa kodi zisizo na ulazima.
Nilitegemea madawa yataongezeka mahospitalini, matokeo yake hata dawa ya chanjo kwa watoto imekosekana. Naona kama maombi yangu yanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwanini basi niendelee kuomba?
Kama mwaka jana niliishi vizuri, watoto walisoma bila kumwombea rais aliyekuwepo, ajira zilikuwepo wafanyakazi walipanda madaraja bila kumwombea rais aliyekuwepo, wanafunzi walipata mikopo tena wote bila kumwombea rais aliyekuwepo, kuna sababu gani basi kuendelea kumwombea aliyepo?
Nimestisha maombi.
Ni uamuzi wangu sijashinikizwa na mtu.
Quinine.
Safi sana hicho kidonge ni chake akimeze haraka sana!!Hujafanya kosa Mkuu kuacha kumuombea huyu Janga la Taifa mwenye roho mbaya kuliko hata shetani, mzinzi ndiyo alihonga nyumba kwa hawara yake ambaye ni mke wa mtu aliyezaa naye, fisadi na mwizi na pia muongo baada ya kulidanganya Bunge kuhusu upotevu wa zaidi ya bilioni 100 pale ujenzi na anaendelea kuwakingia kifua mafisadi wenzie akina Lugumi, Escrow, IPTL n.k. Watanzania wengi hatukuwahi kumuombea huyu maana tulifahamu siku nyingi ni mtu wa namna gani na yale yaliyosemwa na wengi kwamba huyu ni janga la Taifa sasa yanadhihirika.
Wewe siyo mwanamaombi ila mbabaishaji tuu.... Unasoma bibilia kweli wewe? Huoni kwamba Mungu anazidi kukupa sababu za kwa nini unatakiwa kumuombea kwa bidii?Alipochaguliwa tu alitusihi Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, makabila yetu na dini zetu tumwombee, kwa kile alichosema alichokikuta kule kilihitaji maombi.
Kweli kama Mtanzania nilianza maombi ya nguvu, nilitenga siku moja ya mwezi kufunga kwa ajili yake nikijua kazi aliyonayo ni ngumu na ya hatari.
Pamoja na kufanya hivyo, leo takriban mwaka unakwisha bila kuona faida ya maombi yangu. Maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu afadhali ya mwaka jana.
Katika maombi yangu nilitegemea atakuwa rais wa wanyonge kama alivyoahidi.
Nilitegemea atakuwa rais wa vyama vyote, dini zote na makabila yote kama alivyoahidi. Nilitegemea rais atakuja kuwapata mikopo wanafunzi wote kama alivyoahidi.
Nilitegemea maombi yangu yatambadili na kutawala kwa haki kwa kufuata utawala wa sheria, rule of law. Nimesubiri ahadi yake ya ajira kwa vijana kama alivyoahidi, matokeo yake kaajiri vijana kwa kuangalia ukada na mbaya zaidi kaajiri vijana wenye ukakasi mbele ya jamii.
Matokeo ya maombi yangu ni kusitishwa kwa ajira, kunyanyaswa kwa watumishi wa umma kwa kisingizio cha kuhakiki wafanyakazi hewa.
Maombi yangu yamesababisha wafanyabiashara kunyanyaswa kwa kuongezewa kodi zisizo na ulazima.
Nilitegemea madawa yataongezeka mahospitalini, matokeo yake hata dawa ya chanjo kwa watoto imekosekana. Naona kama maombi yangu yanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwanini basi niendelee kuomba?
Kama mwaka jana niliishi vizuri, watoto walisoma bila kumwombea rais aliyekuwepo, ajira zilikuwepo wafanyakazi walipanda madaraja bila kumwombea rais aliyekuwepo, wanafunzi walipata mikopo tena wote bila kumwombea rais aliyekuwepo, kuna sababu gani basi kuendelea kumwombea aliyepo?
Nimestisha maombi.
Ni uamuzi wangu sijashinikizwa na mtu.
Quinine.
Hivi hiyo ya kinyesi kuwa lami aliitamka kabisa hadharani??Safi sana hicho kidonge ni chake akimeze haraka sana!!
Asitusumbue hovyo kumuombea wakati anazuia mawazo huru!! akitaka uhitla na tabia mbaya nyingi!! Kule biharamulo aliwahi kuwaambia "kunyeni mavi mufanye lami kwenye barabara yenu" Hii ni baada kumnyima kura katika eneo hilo. Baada ya kudivert barabara isipite kwao badala yake ipite nyumbani kwake chato!!. THIS IS NOT A PRESIDENT MATERIAL PERIOD!!
Amina...!M namuombea aguswe na shida za watanzania
unampinga magufuli rais wa wanyonge .....we ataombewaje na wewe wakat wanyonge wanataka aish miaka 200Alipochaguliwa tu alitusihi Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, makabila yetu na dini zetu tumwombee, kwa kile alichosema alichokikuta kule kilihitaji maombi.
Kweli kama Mtanzania nilianza maombi ya nguvu, nilitenga siku moja ya mwezi kufunga kwa ajili yake nikijua kazi aliyonayo ni ngumu na ya hatari.
Pamoja na kufanya hivyo, leo takriban mwaka unakwisha bila kuona faida ya maombi yangu. Maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu afadhali ya mwaka jana.
Katika maombi yangu nilitegemea atakuwa rais wa wanyonge kama alivyoahidi.
Nilitegemea atakuwa rais wa vyama vyote, dini zote na makabila yote kama alivyoahidi. Nilitegemea rais atakuja kuwapata mikopo wanafunzi wote kama alivyoahidi.
Nilitegemea maombi yangu yatambadili na kutawala kwa haki kwa kufuata utawala wa sheria, rule of law. Nimesubiri ahadi yake ya ajira kwa vijana kama alivyoahidi, matokeo yake kaajiri vijana kwa kuangalia ukada na mbaya zaidi kaajiri vijana wenye ukakasi mbele ya jamii.
Matokeo ya maombi yangu ni kusitishwa kwa ajira, kunyanyaswa kwa watumishi wa umma kwa kisingizio cha kuhakiki wafanyakazi hewa.
Maombi yangu yamesababisha wafanyabiashara kunyanyaswa kwa kuongezewa kodi zisizo na ulazima.
Nilitegemea madawa yataongezeka mahospitalini, matokeo yake hata dawa ya chanjo kwa watoto imekosekana. Naona kama maombi yangu yanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwanini basi niendelee kuomba?
Kama mwaka jana niliishi vizuri, watoto walisoma bila kumwombea rais aliyekuwepo, ajira zilikuwepo wafanyakazi walipanda madaraja bila kumwombea rais aliyekuwepo, wanafunzi walipata mikopo tena wote bila kumwombea rais aliyekuwepo, kuna sababu gani basi kuendelea kumwombea aliyepo?
Nimestisha maombi.
Ni uamuzi wangu sijashinikizwa na mtu.
Quinine.
mkutano wa hadhara akiwa waziri wa ujenzi!!Hivi hiyo ya kinyesi kuwa lami aliitamka kabisa hadharani??
Kweli mkuu, nikiendelea kumwombea nitakuwa namimi kama nayabariki mateso ya wananchi.
Watu wanavyolalamika maisha, ajira, wanafunzi wanavyolalamika kukosa masomo, watumishi wanavyofukuzwa hovyo, yote hayo sitaki kushiriki laana kupitia maombi yangu.
Halafu eti umepata like!!!Hata usipomuombea wewe,wengi tunaompenda mungu anapokea maombi yetu
Nyie muombeeni mbowe azidi kutafuna ruzuku