Mkuu pole sana!....acha nikuambie kitu cha ukweli kabisa bila kumung'unya maneno.Wanajf,
nimesikiliza kipindi cha jahazi cha clouds fm ambapo leo topic ilikuwa inahusu hotuba ya mbunge joshua nasari. Kilichonisikitisha sana ni kauli ya kibonde kuhusu nasari. Kibonde ameonekana kama kesha muhukumu nasari na anachoamini kwake ni kwamba nasari haweyi kupewa nafasi yoyote ya kusikiliywa kwasababu ya kauli yake. Kibonde anasema na kusisitiza kwamba anayepaswa kupewa nafasi ya kuelezea jambo hili ni mwanasheria tu na nasari hana haja ya kupewa nafasi japo watangazaji wenzake wamejaribu kumsisitiza kwamba kuna haja ya kumsikiliza nasari naye lkn kibonde anaonekana tayari ana majibu ya kitu gani kifanyike kuhusu nasari. Na hapo ndipo ninapokosa logic ya kwanini wanamwita mwanasheria redioni wkt kibonde tayari ana majibu.
Je ni ufafanuzi upi zaidi anaohitaji kutoka kwa mwanasheria?
Je ni mara ngapi tumewahi kusikia kauli kama hizi ktk tanzania? Je kuna haja ya kutoa hukumu kabla ya muda?
Nawasilisha.
Telo.
Naminimemskia naomba kufahanu katika kampeni za Arumeru kina hata suku moja walimlusha kama mgombea? Na kauli za lusinde walisga hata play katika kipindi chake cha jahazi?
una maana anaumwa ndiyo maana anaongea hivyo?
Muipige mgao hamjitaki??? Msimsikie tu kwenye hilo likipindi huyo kwisha kazi.........!Kibonde ni gamba la kichovu na ndiyo linajipenyeza kwenye issue ya Mh:saaaaana. Akiibuka kitaa 0718yake inapigwa mgawo.
Muipige mgao hamjitaki??? Msimsikie tu kwenye hilo likipindi huyo kwisha kazi.........!
Jamani si mwingine ni zaidi ya Ephuraim Kibonde.
Mi sijampenda kbs kutokana na maongezi yake ya kila mara ktk kipindi cha jahazi kinachorushwa na Clouds Radio kila siku na mara zote akiwepo hakika anazoza mbovu sana hasa kutetea mafisadi na kuwapinga wasema haki.
Mi amenijengea nimchukie mbaya mbovu!
Simpendi kbs! Acha niweke wazi ya kwamba namchukia kuanzia sasa!
Shwain sana!!