Nimesikitishwa na Watanzania!

Nimesikitishwa na Watanzania!

nadhani wewe utakuwa sio mjinga ila punguwani, unasema unaangalia tv ofisini badala ya kufanya kazi. Sasa wewe na waloenda kumzika Kanumba kuna tofauti gani. Tupo kumzika shujaa wetu. R.I.P Kanumba

Huna hekima wala busara! Kama huu ni msiba shujaa kazi ipo
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Ndo kakutuma uje utuite wajinga? Na yeye kwa vile hajajumuika siyo mjinga? Nae asubiri msiba wake tuone nani atamzika kama hajumuiki na jamii au anafiki hela zake ndo mwisho wa yote kwahiyo zitamzika?
 
msidhani watu wengi waliokwenda kwenye msiba wa sk wanampenda, la hasha.Najua kwa ugumu wa maisha ya bongo wengi walifuata mpunga tu! unabisha?
 
Ukisema "Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii" unataka kutuambia nini? kwamba Lowassa ni makini sana kuliko wana ccm wenzake au serikali ya ccm? sidhani. Bila shaka hayupo nchini maana naamini kabisa angekuwa wa kwanza kufika katika msiba huo kwa malengo ya kisiasa.

ha ha alifute vizuri lile jina la waziri mkuu aliyejiuzu!
 
Mimi ukiniambia kuna nchi yenye mijitu milimbukeni na mishamba na mijinga kama Tanzania nitakubishia kabisa. Mara ifukuzane na mifupa ya albino mifukoni eti ni utajiri, mara ogope kutetea haki zao, eti ni kuharibu amani na utulivu (wakati wastani wa umri wa kuishi uko 40-45, ajali zikitokea eti ni mapenzi ya Mungu, uf...... Taifa la mijinga. Nahamia walau Kenya

Waweza kuhamia huku...ntakusaidia permision ya kuishi hapa Canada.
 
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo

Kwa hiyo wewe uliyewahi kufiwa nchi nzima iliacha kazi ikaja kwako?
 
Ndo kakutuma uje utuite wajinga? Na yeye kwa vile hajajumuika siyo mjinga? Nae asubiri msiba wake tuone nani atamzika kama hajumuiki na jamii au anafiki hela zake ndo mwisho wa yote kwahiyo zitamzika?

Kwa ulichopost hapa sioni Jina zaidi ya kuku brand wewe unauenda wazimu wa fikra
 
WaTz ni wavivu mno na wapenda Starehe! Kwaiyo wewe wala usishangae ukisikia kuna likizo ya KANUMBA DAY!
 
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda

Ahahahaaa!! Dah! Naskia biblia inasema, mshahara wa dhambi ni kifo!
 
duh,................. mods bado tu hawajaushtukia huu uzi??................. we masa ungetia vineno kama hivi kwenye msiba wa regia, ungekiona cha moto kutoka kwa mods.............................. beware!
 
kaiuza Tanzania vizuri sana huko nje. Mwacheni maana kosa lake moja lisifute mazuri aliyotenda. Hukumu tumuachie Mungu nasi tutimize yetu-kumpa maziko yanayomstahili. Palikuwa hakunaga kama Kanumba
 
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda
bila shaka wewe ni msukule
 
mkuu masanilo
naunga mkono thread, nadhami hoja yako ingezingatia haya pia
1) ijumaa-watu hawakwendakazini (ijumaa kuu)
2) jumamosi- watu hawakwenda kazini (karume day)
3) jumapili- offday+easter
4) jumatatu- watu hawakwenda kazini (jumatatu ya pasaka)
5) jumanne- watu wanashindwa kwenda kazini (kumzika kanumba)

kaazi kwelikweli

r.i.p kanumba


naunga mkono point zako kwamba tumepoteza wiki nzima ya kazi kama mtu ukihesabu siku hizo tulizopumzika . Ila tusamehe bure kwa maana kuwapa pole wafiwa ni jadi yetu tatizo muingiliano wa sikukuu!
 
mimi si mwanasaikolojia lakini nadhani suala hapa ni mitizamo inayokinzana.

wewe umeliangalia hili tukio na kufanya assessment yako kwa kutumia akili zaidi (reason). kwa hiyo watakuwepo watakaosema "wow, masa is bright", lakini pia wapo watakaomaka "masa is heartless!".

wapinzani wengi wa hoja yako ni wale wanaosukumwa zaidi na emotions badala ya reason. hao ndio wataku-brand as "heartless".

unaweza kuua hata mama yako mzazi kwa kuegemea sana kwenye reasoning ya tukio lakini pia unaweza kujikuta unamuachia mwanamume mwingine atembee na mke wako kwa msukumo wa emotions!

the irony of my narration is.....yabidi sote tufike mahali tukubaliane kuwa ni lazima wakati wote kuwe na appropriate balance kati ya "reason" na "emotion".

Aptly put this!
 
Kuna siasa ndani yake!

JK Nchimbi tibaijuka et al hawakuweza kwenda msiba wa the late gavana Balal ila Msanii huyu serikali yote ilikuwepo na raia wasio na kazi!
 
Mhhhh. Kweli mnachemka Leo, hivi hamjui Huyu jamaa ni maarufu? Kuna Shida gani kupata hiyo heshima guys hebu please Acheni wivu, nyie wenyewe hamfanyi kazi kila wakati JF mna comment udaku everyday! No way this happens once in ones life, it's not daily, do not think everybody amekwenda pale hana kazi, no! It's a sympathy, na hii ndiyo tofauti ya TZ na nchi nyingine, Ukifa you don't need a life insurance to cover for your funeral costs, people will finance you! Mnataka mike huko everything is money you save for yourself? Hata funeral you pay through insurance! Crazy!

Na kuna wengine wameenda hapo wakitegemea mlo wa bure, na si sympathy kama unavyodhani. Na ingekuwa uswahilini wengi wangejipa "uandazi" ili kujihakikishia "Shea" kubwa zaidi. Don't ask me why I know this: nimekulia uswahilini so I know hii ya kujifanya una sympathy mtu anapokufa ila si anapokuwa mgonjwa!
 
Utakuwa umelogwa wewe AMA unapepo! I'm talking from economic point of view! Ujinga Huu watz hao walio leaders hajafanya kazi yeyote ya kuzalisha
Wewe ukifanya kazi, wenzako wachache wanafisidi. Kila siku ni afadhali ya jana!
 
Wamama wamepotezana na watoto wao kisa Kanumba,
Nyumbani hakujapikwa kisa Wamama wapo Kinondoni kwa Kanumba,
Nimeshindwa kuwahi Stanbic pale Kinondoni Kisa Kanumba,
Mtoto wa miaka mitano wa Jirani yangu toka asubuhi haonekani kisa alienda Kinondoni Kanumba.
Talaka on the Corner, Rafiki mmoja alifiwa na ndugu yake, msiba upo Chanika walikozika leo, lakini mkewe kaamua kwenda kwa Kanumba.
 
Hoja yako ina mashiko. Isitoshe wanaosema tumsamehe marehemu hawajakosea. Ila hoja inaongelea taifa la wazinzi. Hii ni kweli taifa letu ni la hovyo na linatawaliwa na watu wa hovyo. Hata hivyo tusishangae msukumo na hadhi aliyopewa Kanumba. Ni kwa vile ni msanii kama wao na mazinzi mwenzao so to speak. Nilishangaa kuona msiba wake unapewa uzito kuliko hata wa marehemu makamu wa rais Omari Juma. This is saaaad. Tunaelekea wapi iwapo watu wanakwepa majukumu muhumi ni kujichimbia kwenye mambo ya hovyo? Hakika tumekwisha na tuililie Tanzania inayogeuzwa kuwa Tanzia.
MICHAEL JACKSON alizikwa na watu wa pande zt duniani
 
Subiri na wewe siku utakufa au kufiwa watu wakazalishe mali badala ya kukuombolezea au kuomboleza na wewe.Kanumba alikuwa mtu wa watu akiburudisha nyoyo zao hata katika shida na taabu za Watanzania. kutizama Movie zake unapunguza mawazo. Leo ndio siku yake ya mwisho duniani na haikuwa vibaya watanzania kuacha shughuli zao na kuja kumuaga. Ni kawaida yetu kuonyesha upendo kwa kwa kitu tunachokipenda. watu wengine mnajifanya mko serious sana na maisha wakati kuna siku haya maisha utayaacha.
 
Back
Top Bottom