Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
Khaa jamani mbona kufuru namna hiyo kwahiyo ulitaka watu wasiende kuzika?wangekosekana napo mngesema sasa sijui mnataka iweje?yamepotea mabiloni mangapi hata leo mlalamikie umati ulioenda kumzika kanumba yaani binadamu wana hila kama kkikwapa kunuka bila kidonda acheni hizo.
Kuna watu wanazikwa na halmashauri za miji, unadhani hawazikwi? Nikipewa option ya kuzikwa na watu wawili tu ili umati uliobaki ukafanye kazi zenye manufaa kwa taifa nitaipokea kwa mikono miwili. Kwanza maiti huwa hajali kama mnamchoma, mnamfukia au mnalishia mwili wake simba! They don't feel or know anything!