Kwa tafriri nyingine inaonyesha ni kiasi gani watanzania wengi hawana kazi au shughuli za maana za kuwapatia kipato with exeption to waandishi wa habari na viongozi wa serikali. Majority ni walalahoi tu ambao hawana chochote cha kuwakip busy. Anyway sio mbaya kuomboleza but tunapata tafsiri nyingi sana kutokana na huu msiba.