Nimesikitishwa na Watanzania!

Nimesikitishwa na Watanzania!

Uzuri ni kwamba hatuna cha kuzalisha, ndio maana tunatangatanga. Wananchi nao sio mzigo wa serikali, bali ni sawa na kuku wa kienyeji ambaye anatoka asubuhi kujitafutia riziki yake,
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa
Si nilisikia EL ana ngeu, aliyopata Arumeru mashariki, labda ndo maana kajipumzisha.
Pasco aweza thibitisha hili.
 
Miafrika ndivo tulivyo, source: NN

Kwamba unamlinganisha princess Diana UK ni sawa na Kanumba TZ?

C.R.A.P At its best! Manina!

kwani Diana alikuwa na nini spesho zaidi kuwa celeb kama Kanumba?acha kushobokea ngozi nyeupe,unajichoresha kichizi.
 
anamaanisha ungetamani uzikwe kwa heshima kama Steve,lakini kinachokuumiza haitakaa itokee.
Unaweza kunisaidia kidogo even if my dead body itazikwa na bara zima la Afrika kuna nafuu yoyote mbele za Mungu juu ya dhambi zangu?
Umefikia uwezo wako wa mwisho kufikiri, huna dila wala mwelekeo ufalme wa mbinguni hauingiliki kwa idadi ya watakao kulilia wala watakaohudhulia msiba wako, bali matendo yako tu. kaeni endeleeni kudanganyana na endeleeni na uzinzi if u think it will help you.
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Mkuu Masa, umeongea pint sana hapa, sema wa TZ tunakasumba za kijinga sana, waliotangaza huo msiba wameingiza ma milion ya shiling. Wakati umati ule kama sikosei 80% ndio walioenda kwenye kikombe cha sumu ooops sorry cha babu. Sasa wanalaumu wanakufa hovyo kwa kufwata mkumbo. Watu wangapi TZ wamefanya makuu leo hii wamekufa wamezikwa kimya kimya? Namheshimu Kanumba japo kafia kiunoni kwa kicheche wa girl friend wa rafiki yake Ray. Kifo cha namna hii kimeguzwa msiba wa kitaifa na wa kutafutia umaarufu. Nahasira sana leo ilikuwa kama public holiday
 
Unaweza kunisaidia kidogo even if my dead body itazikwa na bara zima la Afrika kuna nafuu yoyote mbele za Mungu juu ya dhambi zangu?
Umefikia uwezo wako wa mwisho kufikiri, huna dila wala mwelekeo ufalme wa mbinguni hauingiliki kwa idadi ya watakao kulilia wala watakaohudhulia msiba wako, bali matendo yako tu. kaeni endeleeni kudanganyana na endeleeni na uzinzi if u think it will help you.

Taratibu za dini yake zinaruhusu ..kufanya show..kwenye msiba; yaani watengeneza t-shirt, bendi, MC..

Nafikiri mazishi yametoa ajira kwa wajasiriamali..

The whole process is hoax kwa mhusika; sana sana ingekuwa upande wa pili siku ya pili sala ya saba kila kitu kwishney
 
Duuh!! Hivi kwa mfano Mungu (Yehova) angewafumbua macho wote mliokuwepo Leaders awaoneshe huko aliko, SIPATI PICHA!!

Wengi tunasema mweke mahali pema peponi....... Lakini Mungu anajua pa kkumweka na sio kwa jinsi tunavopenda sisi afanye. Kila mtu ajiandae wakati wowotw ule... hizi za kumwagiza Mungu kumweka Mahali pema peponi hazina maana.. matendo yetu yatatuchangulia mahali pa kuwekwa
 
Ona Waziri Nchimbi ameshinda msibani siku Mbili jamani wendawazimu Huu!
mkuu, labda alikuwa anajaribu bahati yake tena ya kuwapatanisha sugu na wale jamaa wa mawingu redio
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani...

Rt Rev ... With this words?

I completely understand your concern ...!!
 
Asante Masanilo kwa kujitofautisha nao, niko pamoja na wewe.
Mimi naomba niulize maswali mawili tu,
1. Kwamba Amekuza Tasnia ya Filamu Tanzania, kivipi?
MJOMBA USIANGAIKE SANA HIYO NDIO NGUVU YA FREEMASON.
 
semeni yote ila hiyo ndo nguvu ya freemason we hata kama leo ulikuwa na hangover hujaenda kazini mwambie boc nilikuwa kwenye mazishi atatulia
 
SK amezikwa na wale waliokuwa wanaukubali mchango wake katika jamii. Kama wewe unaona hakuwa na mchango ama hakustahili kuzikwa na watu wote hao unaweza ukaendelea na shughuli zako.
 
hii ni kali kwani hata vipindi vya Radio mbalimbali vimekuwa adjusted kwa hii kitu. Sijui akifa na msanii mwingine ghafla itakuwaje?
mbona Mr.Ebbo kazikwa na wakulima na wafugaji wenzake,hivi huyu Kanumba na mzee Kipara nani alikuwa na mchango mkubwa,au wanatizama muonekano wa mtu?
 
MICHAEL JACKSON alizikwa na watu wa pande zt duniani

Acha uongo wewe. Ulikuwepo kwenye mazishi yake? Ndugu, jamaa na marafiki wa karibu sana ndio waliomzika. Pia Whitney Houston ilikuwa hivyo hivyo. Najaribu kufikiria vipi kama ndugu zake na Kanumba wangesema wanataka mziba na maziko ya kifamilia tuu? Bado watu na wanasiasa wangeng'ang'ania kwenda? Kwenye interview ya kwanza kabisa ya baba yake kama vile alisema wangempeleka kwa babu yake Mwanza ambako ndiko alikozikwa.
 
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda

Kuna mwingine aliamua akajifungulie barabarani kuliko kukosa kwenda. Huyu nadhani ni zaidi ya ujinga.
 
Taratibu za dini yake zinaruhusu ..kufanya show..kwenye msiba; yaani watengeneza t-shirt, bendi, MC..

Nafikiri mazishi yametoa ajira kwa wajasiriamali..

The whole process is hoax kwa mhusika; sana sana ingekuwa upande wa pili siku ya pili sala ya saba kila kitu kwishney

Jitu LI-DINI utaliona tu. Sasa kushona matisheti kunahusiana nini na dini? Kwani wewe ukifa na ukataka kushona matishet kuna mstari kwenye dini yako unakukataza kufanya hivyo?

Jaribu angalau mara moja kwa mwaka kuongea kitu cha maana
 
cloudz fm na tv ni kama BET...
BET, chanel ya watu weusi inayoongozwa kupendwa na watu weusi vipindi vyake vyote havina manufaa kwa maisha ya watu weusi zaidi ya kuwapotezea muda na kuharibu kizazi kijacho...
Cloudz fm na tv, inapendwa sznz na watanzania ila vipindi vyake ni umbea umbea tuu na mambo yasiyo na faida kwa nchk yetu...
Siwalaumu, hawa ni wafanya biashara, wanakupa ukipendacho...
Waafrika tuna penda starehe na mambo ya kijinga.. Tusipobadilika kamwee hatutatoka hapa tulipo...
 
Nimekua na mtazamo Kama wako. Nilichogundua ni kwamba nchi imejaa vijana wabangaizaji, mama wa nyumbani,wasanii na wanasiasa ambao wote wanaakili moja ya kuchuma wasichopanda. Tunayo safari ndefu kutoka kwenye ujinga huu.
 
Back
Top Bottom