Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

Mtoa mada jiheshimu

Its not about classes...
Ni urasimishwaji
Hata hapo mjini wakipanga fremu kuna mtu kawazuia??
 
Yaani wewe nilikima lisilo jitambua kwahiyo sisi wa peta kwa miguu tupite wapi machinga wameziba mpaka njia za wapita kwa miguu kila kona kila chocho bora mpangwe tu ili mji uwe na mipango sio kila sehemu pakifanyia biashara, mfano wewe nyumbani kwako una weza ukapikia kila sehemu..? au una weza uka jisaidia kila sehemu lazima uwe na mipango, utajisaidia chooni utapika jikoni, utalala chumbani utapinzika sebuleni n.k tatizo lenu kila kitu kinacho senwa na serikali kwa maslahi ya wote ninyi watu wachache mnaona mnaonewa basi sawa mbishane na serikali basi tuone.
 
Acha unafki kwanini hukujitokeza wakat wa magu! Au ulikua umejificha uvunguni
 
Niko tayari kutoa mchango kwa Serikali endapo itaanzisha Machinga removal Fund, ya kuwalipa mgambo na SumaJKT ili wawatwange marungu vizuri.
Next iwe kuwapanga Bodaboda kwenye vituo maaalum ikiwa ni pamoja na Utambuzi wao
Wanaoishi home utawajua tu.
 
Wamachinga wapo kwa context ya wafanyabiashara wadogo wadogo (mfano UK) lakini wamepangwa vizuri na maeneo maalumu, huwezi kuona anarandisha mitaani.
UK sehemu gani?Binafsi huwa naona maduka tu. Sema siku ya soko la wazi ambalo huwa almost mara mbili kwa wiki ndo unakuta meza zimepangwa napo ni asubuhi mpaka saa nane. Wanafunga na magari ya manspaa yanafanya usafi.
 
Hilo litakuwa ni gulio
 
UK sehemu gani?Binafsi huwa naona maduka tu. Sema siku ya soko la wazi ambalo huwa almost mara mbili kwa wiki ndo unakuta meza zimepangwa napo ni asubuhi mpaka saa nane. Wanafunga na magari ya manspaa yanafanya usafi.
Ndiyo maana nilikwambia kwa context ya wafanya biashara wadogo wadogo. Mji niliyokuwepo mimi kwenye miaka ya tisini kulikuwa na open market siku sita kwa wiki. Hapo ulikuwa unakuta wahindi kibao na vibiashara vyao vidogo vidogo vimepangwa vizuri. Walikuwa wanafanya kwa mpangilio wa manispaa lakini hawa ukiangalia ni sawa na hawa machinga wa kwetu ila wao wamepangwa vizuri.
 
Miaka ya tisini na hii ni 2021 how comes Mama yetu? kifupi wafuate nini serikali inataka Over
 
Mama ntilie wanapikia kuni Nje ya ofisi za Serikali!. Hii ni zaidi ya uchafu. Hongera Makalla ilikuwa too much. Watu warudi Makwao sio kujazana mjini na kuchafua mazingira.
 
Wamachinga hawajafukuzwa,ila wanatakiwa wafanyebiashara kwa kufuata sheria na kanuni,wakafanye biashara maeneo maalumu,kwenye masoko.Na kama wapo wenye uwezo,wawe kikundi kama wanne au wangapi,wachukuwe Frem,wawe wanalipa kodi stahiki.

Hata viwanda,makampuni mengi sio mali ya mtu mmoja,wapo walioshirikiana kuanzisha viwanda ,wapo Wana hisa,.na wanafanyabiashara kwa kufuata sheria na kanuni.

Wapo wamachinga Wana mitaji ya mpaka milioni kumi,wanamiliki majumba,magari,na hawataki kufunguwa Frem. Wakati yupo mtu ana mtaji wa milioni moja,na kafunguwa duka katika Frem,mtaani ya kuuza nafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Kampala frem moja ya duka inamilikiwa na watu hata 10 Ni wao tu ba bidhaa zao Sasa hapa Kila mmoja anataka akae barabarani
 
Back
Top Bottom