Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

Wamachinga hawajafukuzwa,ila wanatakiwa wafanyebiashara kwa kufuata sheria na kanuni,wakafanye biashara maeneo maalumu,kwenye masoko.Na kama wapo wenye uwezo,wawe kikundi kama wanne au wangapi,wachukuwe Frem,wawe wanalipa kodi stahiki.Hata viwanda,makampuni mengi sio mali ya mtu mmoja,wapo walioshirikiana kuanzisha viwanda ,wapo Wana hisa,.na wanafanyabiashara kwa kufuata sheria na kanuni.Wapo wamachinga Wana mitaji ya mpaka milioni kumi,wanamiliki majumba,magari,na hawataki kufunguwa Frem.Wakati yupo mtu ana mtaji wa milioni moja,na kafunguwa duka katika Frem,mtaani ya kuuza nafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa naomba tumuongelee mama ambae anauza ndizi umpeleke mbali namji atauza kwel?
 
Chingaz wafuate utaratibu ulioweka na serikali katika kufanya biashara zao,haiwezekani waendelee kujenga juu ya mitaro,kuziba njia za watembea kwa miguu ,kufanya biashara kwenye road reserve,ikifika tar 1 Nov mkiwakamata ni fine laki 3 wakishindwa ni kuwafunga.
 
ulishaenda huko dar ukaona walivyozagaa? ya kaisari...
Sasa kua na mji msafi wakat watu wanalala njaa huo ni ushamba.ila wew unaonekana mbinafsi sana acha ubinafsi hautakufkisha popote
 
Wanafurahia kufukuzwa au wanafurahia Kero zilizokuwa zinasababishwa na kutokuwa na utaratibu ?

Unadhani kuna mtu anapenda kupanga fremu, kutokuweka bidhaa zake nje ili zionekane kwa urahisi na kuepuka tozo zote na kulipa 20,000/= ? Jibu ni Hakuna ila ni utaratibu uliopo...

Kwahio kuwa na Sera mbovu za serikali haimaanishi watu tuishi bila mpangilio, tuishi kwa mpangilio wakati tunaweka sera vizuri ili hao ndugu zetu au sisi kesho tusiende huko....

Kufanya kazi/biashara holela sio sifa hata kama dunia nzima yanafanyika haimaanishi kwamba ni sawa...
 
Chingaz wafuate utaratibu ulioweka na serikali katika kufanya biashara zao,haiwezekani waendelee kujenga juu ya mitaro,kuziba njia za watembea kwa miguu ,kufanya biashara kwenye road reserve,ikifika tar 1 Nov mkiwakamata ni fine laki 3 wakishindwa ni kuwafunga.
Pole sana maana naamini utawai kufa maana una roho mbaya sana
 
Wanafurahia kufukuzwa au wanafurahia Kero zilizokuwa zinasababishwa na kutokuwa na utaratibu ?

Unadhani kuna mtu anapenda kupanga fremu, kutokuweka bidhaa zake nje ili zionekane kwa urahisi na kuepuka tozo zote na kulipa 20,000/= ? Jibu ni Hakuna ila ni utaratibu uliopo...

Kwahio kuwa na Sera mbovu za serikali haimaanishi watu tuishi bila mpangilio, tuishi kwa mpangilio wakati tunaweka sera vizuri ili hao ndugu zetu au sisi kesho tusiende huko....

Kufanya kazi/biashara holela sio sifa hata kama dunia nzima yanafanyika haimaanishi kwamba ni sawa...
Shida ni kwamba.watu hawana ajira wafanyaje sasa
 
Wewe unaandika hapa utafikiri shughuli za Serikali zinafanyikia JF, Nenda kawazuie wale migambo wasiwaondoe machinga ndiyo utajua hata hawo migambo walikua wanatafuta kazi kwa zaidi ya miaka mitano hawakupata, sasa wamepata kazi uende ukawazuie kazi, Watakubonda virungu ujichukie mwenyewe.
 
Ila tumefanikiwa kuwaondoa Barabarani wajinga nyie.

Nendeni mabush kwenu mkalime kwani Hadi mkae mijini kuchafua mazingira?
Sasa mim sipo level hizo mim naweza kukuajiri wew haijarishi umri wako
 
Wewe unaandika hapa utafikiri shughuli za Serikali zinafanyikia JF, Nenda kawazuie wale migambo wasiwaondoe machinga ndiyo utajua hata hawo migambo walikua wanatafuta kazi kwa zaidi ya miaka mitano hawakupata, sasa wamepata kazi uende ukawazuie kazi, Watakubonda virungu ujichukie mwenyewe.
Usifikili kila mtu wakupigwa tu kama wew mnyonge
 
Sasa mim sipo level hizo mim naweza kukuajiri wew haijarishi umri wako
Mjinga wewe huna uwezo wa kuniajiri mimi hata kidogo!

Kwanza umeshachana na MKE wa Kaka yako?

Back
Top Bottom