Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

Tunakosea Sana hawa Kuwaita machinga tuwaite Tu wafanya biashara wenye mtaji mdogo.

Machinga ni neno lililotokana na neno la kiingereza hasa kutoka marekani wakiitwa matching nigga ( machinga)
Maana yake ni wafanya biashara wanaotembeza

Sasa anayejenga kibanda siyo machinga maana hatembezi uisipokuwa wateja wanamkuta hapo

Hawa ni wafanya biashara wadogo
Mimeona nigga nimeshituka. Kumbe sisi watu weusi ndio timeasisi uchafuzi wa miji huko ulaya kisha utaratibu ukaigwa Africa kwa mwendokasi.
 
Hawa ni wafanya biashara wadogo
Na ukweli ni kwamba sio wote ni wafanya biashara wadogo.

Kuna wenye mitaji mikubwa ila kukwepa kodi anaajiri vijana hata kumi anawatengenezea meza anawapa mzigo wanamuuzia jioni wanapeleka hesabu.

Serikali ya magu ndo iliwalea hawa na wangeendelea kuachwa serikali ingeendelea kukosa mapato kwa wingi sana.

We fikiria mtu anaagiza mzigo china anapanga kwenye meza yake aliyoiweka juu ya mtaro au njia ya wenda kwa miguu halipi kodi yoyote.

Nani asiyependa unafuu?

Hawa watu wangeendelea kuachwa baada ya miaka kadhaa watu wangekuwa hawakodi tena fremu za biashara.
 
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
Msitie aibu hebu muwe mnatembea na miji mikubwa kwenye nchi zingine muone kama wanaujinga wa kuacha machinga wafanye biashara hovyohovyo. Dar ni ya kuzidiwa na Kigali kweli? Hebu kuweni serious tupunguze ushamba,kuwapanga watu sio kuwafukuza
 
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
Achana na hizi blah blah tii mamlaka.
Kila mji una mpangilio, tunatamani miji ya wenzetu kwa sababu imepangiliwa, walikuwa wakali hawakuruhusu kila kitu kifanyike bila utaratibu.

Nakushauri futa huu uharo wako uliochanganyika na siasa za maji taka
 
Shida ni kwamba.watu hawana ajira wafanyaje sasa
Tusikubali kila ajira ili mradi ni ajira, ingekuwa hivyo tungeruhusu hata uuzaji wa madawa ya kulevya sababu kuna watu wanapata ajira (ila impact yake ipoje)

Kwa hawa watu kufanya kazi kwa kuziba barabara kunawanyima haki watembea kwa miguu, kwa kuziba mitaro na kufanya kazi katika mazingira machafu ni hatari kwa afya ya jamii...

Kwa hawa watu wengi kuwa wachuuzi badala ya uzalishaji ni upotevu wa nguvu kazi ya taifa..., kwahio badala ya serikali kuwapanga na kuendelea kuwaambia watu wajiajiri wakati fursa pekee inayoonekana ni kuwa mchuuzi na kuendesha bodaboda sio suluhisho la muda mrefu...., Suluhisho ni la kutafuta vitu endelevu vya kuwapatia watu vipato vyenye tija kwa taifa... (Watu wenyewe wajikite kwenye shughuli nyingine tofauti) na Serikali ifungue fursa kutokana na mali asili zilizopo, utalii, kilimo, n.k.

Ila ukiniuliza mimi deep down wa kuwasaidia Machinga ni Machinga wenyewe na Sio watunga Sera ambao wenyewe walishashiba wala hawajui njaa ya wengine.... Kinachohitajika ni Watu, Uongozi Bora na Juhudi za hao watu (vitu ambavyo machinga wanavyo)..

Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
Wewe ni mtu mjinga hufai kuwa humu JF maana unatete upuuzi,
Wamachinga wakiwa maeneo ambayo syo sahihi wanakuwa ni uchafu kama takataka nyingine,
Mtu anapanga bidhaa barabarani wewe unaona sawa, vipi haki za wapitanjia wa miguu na magari, vipi haki za wafanyabiashara wenye leseni na wanalipa kodi serikalini,
 
Na ukweli ni kwamba sio wote ni wafanya biashara wadogo.

Kuna wenye mitaji mikubwa ila kukwepa kodi anaajiri vijana hata kumi anawatengenezea meza anawapa mzigo wanamuuzia jioni wanapeleka hesabu.

Serikali ya magu ndo iliwalea hawa na wangeendelea kuachwa serikali ingeendelea kukosa mapato kwa wingi sana.

We fikiria mtu anaagiza mzigo china anapanga kwenye meza yake aliyoiweka juu ya mtaro au njia ya wenda kwa miguu halipi kodi yoyote.

Nani asiyependa unafuu?

Hawa watu wangeendelea kuachwa baada ya miaka kadhaa watu wangekuwa hawakodi tena fremu za biashara.
Ndiyo maana nasema hawa ni wafanya biashara wadogo , wafanya biashara wakubwa wananufaika Sana na hawa jamaa na hii ni Kwa sababu ya utitili wa Kodi ambazo hazina kichwa wala mguu

Jamaa Tu kaanzisha saluni ya wanawake sehemu ambayo haina biashara kubwa wamekuja TRA kumkadiria wanamwambia 359,000 Kwa mwezi

Huyu mtu kweli ataendelea na anajua hapati kipato hicho

Serikali lazima ijitathmini hawawezi kukwepa Kodi bila sababu
 
Wewe tulia tu, mtu umekopa hela kujenga frem zako, wateja wakija kupangisha, machinga wanajenga vibanda vyao mbele ya frem, wapangaji wako wanaondoka, deni linakusibiri hapo.

Umwpanga frem yako unalipia laki 2 kila mwezi ya chumba, elf 10 umeme, halmashauri nako wanataka pesa, Tra nao wanataka, alafu anakuja mtu mbele ya frem yako anauza bidhaa hio hio unayouza, wateja wanaishian wake na hata halipi kodi.

Kaa pembeni kama hujui uhalisia
 
Sasa kua na mji msafi wakat watu wanalala njaa huo ni ushamba.ila wew unaonekana mbinafsi sana acha ubinafsi hautakufkisha popote
Hivi kila mwenye kuuza akiamua aende kuuza kwenye vibaraza vya wateja itawezekana?

Kupanga mizigo kwenye road reserve (inaweza pelekea vifo) au kwenye mitaro (inaweza kuleta magonjwa na hatari kwa afya)
 
wamachinga wanachokifanya ni utakatishaji wa pesa kwa njia iliyobarikiwa, asubuhi wanachukua mizigo kwa matajiri wao - kwa tanzania nzima takribani mzigo wa 30bil unaingia mitaani, unauzwa bila risiti hapo serikali inakosa mapato.

kingine ni mipangilio ya miji, yaani ilifikia hatua kuendesha gari kariakoo ni kero balaa, hukawii kukanyanga nyanya, parachini, vitumbua nk

wenye hili la wamachinga naunga mkono zoezi.
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
 
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
Umekosea sana, Wamachinga ni ndugu zetu ni jirani zetu ni wanafamilia, Hakuna mtu anayefurahia, isipokuwa tunataka taratibu zifuatwe, watengewe maeneo, haifuraishi kuona vibanda kila mahali, vitumbua vinapikwa kila mahali, vituoni mwa daladala, haifai.
 
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
Warudi vijijini kulima bana, mwanaume mzima kutwa kuuza maji wakati ana msuli wa kulima mpunga anakuwa hajitendei haki yeye mwenyewe pamoja na serikali, tena ningekuwa mimi ningewaambia waripoti kwa wenyeviti wa vitongoji walikotoka na wapewe majembe ,kwa kipindi hiki tayari ndio wakati muafaka wa maandalizi ya kilimo. Maisha sio lazima uwe Machinga au uishi mijini, Tanzania tuna ardhi tele, njoo tulime kilimo cha mihogo,mbaazi,mbogamboga badala ya kutwa kukimbizana na daladala na viboksi vya maji kichwani
 
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
Bila kuuma maneno tatizo ni mwendazake, angalia alipokufa watu mpaka walichinja ng'ombe, mwangalie Saambaya alipovuna alichopanda jinsi watu walivyofurahi. Kifupi ni kuwa kama ulijihusisha na yule dubwana kwa namna yeyote lazima yakukute tu. Anyway machinga siyo kosa lao kwani wengi ufahamu wao mdgo hivyo binafsi nawaonea huruma lakini jiji lazima lile safi na lionekane likiwa safi.
 
Back
Top Bottom