Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

Ipo siku utawekwa kwenye friji kama soda ndio utajua kumbe ujui
Kila mwenye pesa atawekwa kwenye friji unless dini/imani yako hairuhusu. Mkuu ondoa hicho kibanda usije kupata hasara ya kujitakia
 
Kwanin wenye maduka wanabaki mjini huo ni ubaguz bna
Panga fremu hapo mjini na ulipe kodi uone kama kuna mtu atakuja kukufata. Huna pesa za kupanga fremu basi wew mjini siyo sehemu yako. Ushauri wa bure kwako achana na ujamaa kwani ulishashindwa kitambo, masikini na tajiri hawawezi kuwa sawa. Tafuta pesa njoo mjini panga fremu
 
Kwani wewe hutawekwa kwenye friji!

Wajinga rudini vijijini mkalime acheni kulia lia na kutembeza Dawa za mbu
Jamaa hajui kama hajui, bado anaishi kijima sana, anauliza kwanini matajiri wanabaki mjini na wao waende kijijini
 
Sasa kua na mji msafi wakat watu wanalala njaa huo ni ushamba.ila wew unaonekana mbinafsi sana acha ubinafsi hautakufkisha popote

Hutaki tena maendeleo ya vitu yale ya mwendazake, akili zitakukaa sawa mwaka huu
 
Miji ina taratibu zake kaka,hamuwezi kubughudhi wengine kwa kuziba maduka yao na kuzuia njia za waenda kwa miguu
 
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA
Hii kitu pia nishawahi kiwashangaa watu twitter wakanitukana
 
Ulaya ipi kuna wa machinga ?
 
Haki kamwe haipo duniani Kama yesu aliteswa ije iwe Machinga?
 
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.

Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.

Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.

Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana

KIPUNGA​
Kitu ambacho hawajui watu wa aina hiyo, ni kwamba machinga ni zao la mfumo mbovu wa utawala unaojali maslahi binafsi ya tabaka la watawala badala ya kujikita kutatua changamoto za jamii nzima ikiwemo kumulika maswala ya kiuchumi na sera zake unaonufaisha jamii kubwa ya watu hasa wa hali ya chini ambao ndo kundi kubwa la wananchi.........huhitaji kuondoa machinga mjini, bali mifumo ya kiutawala ndo inatakiwa kubadilika kuleta mifumo ambayo ina ufanisi zaidi kushughulikia maslahi ya wananchi na siyo maslahi binafsi.​
 
Holela holela..mwisho mkajenga vibanda hadi Mliman city
Niko tayari kutoa mchango kwa Serikali endapo itaanzisha Machinga removal Fund, ya kuwalipa mgambo na SumaJKT ili wawatwange marungu vizuri.
Next iwe kuwapanga Bodaboda kwenye vituo maaalum ikiwa ni pamoja na Utambuzi wao
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom