Yeye alidhani ataishi milele mkamuita munguMbona na ww utajongea huko
akili yako ni nzuriJiwe angetatua(saidia) kwa kurekebisha sheria. Na sio matamko kwa subordinate wake.
Et watumie huruma, duh.
Tanzania we got long way to go.
Tumia akili japo kidogo kama umeshindwa kuelewa aliyosema hapo, anasema machinga wasiondolewe kabla hawajaandaliwa maeneo ya kwenda.Yaani huyu jiwe mwendazake alivuruga kila kitu ktk nchi hii
Nina uhakika huko alipo hawezi kupumzika kwa amani
Acha urongo blaza.......Yeye alidhani ataishi milele mkamuita mungu
Yaani huyu jiwe mwendazake alivuruga kila kitu ktk nchi hii
Nina uhakika huko alipo hawezi kupumzika kwa amani
Jiwe angetatua(saidia) kwa kurekebisha sheria. Na sio matamko kwa subordinate wake.
Et watumie huruma, duh.
Tanzania we got long way to go.
Hakuna nchi iliyofanikiwa ukiwa inaendeshwa kwa utashi na huruma mkuu.sio kila kitu mpaka sheria.
vingine vinategemea utashi wa kawaida kabisa,kama huna huo ndio utategemea sheria kila wakati.
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa Mizuka.sio kila kitu mpaka sheria.
vingine vinategemea utashi wa kawaida kabisa,kama huna huo ndio utategemea sheria kila wakati.
KwahiyoTumia akili japo kidogo kama umeshindwa kuelewa aliyosema hapo, anasema machinga wasiondolewe kabla hawajaandaliwa maeneo ya kwenda.
Jana machinga wa mwanza wameandamana wamehamishwa makoroboi wameenda buhongwa hawajagawiwa sehemu ya kufanyia kazi, nawale waliopaswa kwenda igogo maeneo tayari wamepewa watu wengine na sio wale waliokusudiwa
Sukuma Gangavuruge jiwe,matako yakicheze wewe.useme amani anakosa yeye!!!
tumia hata matako kama kichwa kimekufa.
Hakuna nchi iliyofanikiwa ukiwa inaendeshwa kwa utashi na huruma mkuu.
Utashi is equal to Ndumilakuwili.
Utashi uwowo umemuonesha hangaya kwenye attached video clip akikubaliana na Mwendazake. Ila yanayojili kwa sasa kila mtu nishaidi
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa Mizuka.
Ni ‘nyuma yake , mbele yetu’, means mgongo wa aliye kutangulia mbele ndio unaona, na huo mgongo ni nyuma yake, ila wewe unauona uki mbele, hivyo ni mbele yako wewe unayemfuata kwa nyuma.Mbele yake nyuma yetu...
Hizi huruma na utashi unazosema ndio zinafanya circle ya machinga kutolewa maeneo ambayo hawaruhusiwi kufanya biashara na baadae kurudi kila uchwao ijirudie.rudia tena"hakuna nchi iliyofanikiwa kwa utashi na huruma"
unajua kama kazi ni kusimamia sheria basi hakuna haja ya kuwa na kiongozi!!!wa nini sasa?!
Ndio huyo huyo 😂😂, daah camera hizi..."Na ndizo ajira zenyewe" aliyesema hii Ni Hangaya au?