Nimesikia uchungu sana kusikia haya maneno ya busara toka kwa Hayati Magufuli, inauma sana!

Nimekupata bwana mdogo,nakukumbukeni pia.

clip_now_20211009_102139.png
 
Yaani huyu jiwe mwendazake alivuruga kila kitu ktk nchi hii

Nina uhakika huko alipo hawezi kupumzika kwa amani
Tumia akili japo kidogo kama umeshindwa kuelewa aliyosema hapo, anasema machinga wasiondolewe kabla hawajaandaliwa maeneo ya kwenda.

Jana machinga wa mwanza wameandamana wamehamishwa makoroboi wameenda buhongwa hawajagawiwa sehemu ya kufanyia kazi, nawale waliopaswa kwenda igogo maeneo tayari wamepewa watu wengine na sio wale waliokusudiwa
 
Jiwe angetatua(saidia) kwa kurekebisha sheria. Na sio matamko kwa subordinate wake.

Et watumie huruma, duh.

Tanzania we got long way to go.

sio kila kitu mpaka sheria.

vingine vinategemea utashi wa kawaida kabisa,kama huna huo ndio utategemea sheria kila wakati.
 
Hakuna nchi iliyofanikiwa ukiwa inaendeshwa kwa utashi na huruma mkuu.
Utashi is equal to Ndumilakuwili.

Utashi uwowo umemuonesha hangaya kwenye attached video clip akikubaliana na Mwendazake. Ila yanayojili kwa sasa kila mtu nishaidi

Nchi haiwezi kuendeshwa kwa Mizuka.
 
Tumia akili japo kidogo kama umeshindwa kuelewa aliyosema hapo, anasema machinga wasiondolewe kabla hawajaandaliwa maeneo ya kwenda.

Jana machinga wa mwanza wameandamana wamehamishwa makoroboi wameenda buhongwa hawajagawiwa sehemu ya kufanyia kazi, nawale waliopaswa kwenda igogo maeneo tayari wamepewa watu wengine na sio wale waliokusudiwa
Kwahiyo
 
Hakuna nchi iliyofanikiwa ukiwa inaendeshwa kwa utashi na huruma mkuu.
Utashi is equal to Ndumilakuwili.

Utashi uwowo umemuonesha hangaya kwenye attached video clip akikubaliana na Mwendazake. Ila yanayojili kwa sasa kila mtu nishaidi
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa Mizuka.

rudia tena"hakuna nchi iliyofanikiwa kwa utashi na huruma"

unajua kama kazi ni kusimamia sheria basi hakuna haja ya kuwa na kiongozi!!!wa nini sasa?!
 
Hizi huruma na utashi unazosema ndio zinafanya circle ya machinga kutolewa maeneo ambayo hawaruhusiwi kufanya biashara na baadae kurudi kila uchwao ijirudie.

Term hii sio ya kwanza machinga kutolewa. Ila mzunguko huu utajirudia tena na tena.
 
Kweli mchapa kazi ndio maana kuna kibosile mmoja alisema Mungu aliyeumba mbingu na nchi na sisi sote anapaswa kumshukuru huyu kwa utendaji wake wa kazi.
 
Back
Top Bottom