Nimeshuhudia uongo!!!

Kweli yani, miye nimepigwa na butwaa, inakuwaje mtu anataraji kufunga ndoa ndani ya mwezi 1 then anacheat...why?

Mwezi mmoja mbona hiyo mbali mtu anatafunwa usiku wa ijumaa na jumamosi ndio harusi wiki inayofuatia jumatano yake katoka honeymoon anakutafuta,sasa unajiuliza huyu kaolewa ya nini sasa si angebaki single tu akagawa mpaka achoke ndio aolewe.
 
Wasiliana na mtawa Binti.com amespecialize kwenye eneo hilo....

Binti dot.com huyu bado hajafunga nadhiri za daima,ndio maana hata maisha yake bado ni ya kama ya watu wa Mataifa. Nashindwa hata kutamka jina lake, "S.r Maria Binti.com"linakua limekaa ki dotcomdot com.Ila najua wewe tayari kwani unaitwa "Sr.Maria Ciello"
 
Aaahh faza! Hyo cyo area yangu bana, mie najua kuandaa divai na mapochopocho ya baba askofu, we kamwangalie akiongoza kwaya ndo utoe analysis yako, anasaut kali hata sista anna maria rosa haoni ndani!!
 
Aaahh faza! Hyo cyo area yangu bana, mie najua kuandaa divai na mapochopocho ya baba askofu, we kamwangalie akiongoza kwaya ndo utoe analysis yako, anasaut kali hata sista anna maria rosa haoni ndani!!

hahaaaaa,kumbe masista mko wengi humu ndani.sasa kama anaimba kwaya maana yake muda mwingi huwa anakuwa kanisani kwa ajili ya mazoezi.Kwa hiyo huyu inabidi nimuhamishie sakristia.wewe wa baba askofu tutakua tunaonana jioni ukiishamaliza shughuli zako
 
Unahatari faza,hebu sali rozari kwanza uepuke majaribu.....
hahaaaaa,kumbe masista mko wengi humu ndani.sasa kama anaimba kwaya maana yake muda mwingi huwa anakuwa kanisani kwa ajili ya mazoezi.Kwa hiyo huyu inabidi nimuhamishie sakristia.wewe wa baba askofu tutakua tunaonana jioni ukiishamaliza shughuli zako
 


Wewe kumbe ni rahisi mno kutapeliwa
na unaweza kujiingiza kwenye 'bonge la tatizo' next time usipokuwa makini..

ulichofanya ni hatari mno....
next time unakutana na matapeli unasukwa unaibiwa live

jambo kama halikuhusu na watu huwajui achana nao
 
Sawa The Boss nimekupata,duh umepiga msumari kichwani
 
Last edited by a moderator:
Hahaha... wanaume wengine wanaibiwa kirahisi!!!
 
Kwa ufupi hiyo huitwa "marination" .....Hivi lara1 una matatizo gani na hizi mbavu zangu? mbona huwa sikuelewi?.haya ndugu yangu jana umenisababishia kushindwa kuendelea na utalii wangu wa ndani hapa Dar. Leo tena umerudia!!!! Huwa unawaza nini kabla ya ku-post kitu humu JF? lara1, lara1, lara1, lara1
!!!!!!!!!!!naomba uniache kabisa.
 
Eti anamzimia mchumba wake


Halafu wana mwezi toka waoane ila hilo kahaba limeona likalale na mwanaume mwingine bila shaka jamaa hajalipa mimba nadhani ni mda mzuri wa kuanza moja..

Very simple chukua hamsini zako na chukua zangu kabla ndoa haijatuzoea..


Moja ya sifa ya kiume ni kutokubaliana na mwanamke kwa walau asilimia 65% ya mambo anayokwambia..Nashukuru huyo mwamba haja buy hiyo story ya kipuuzi..

Ndoa haijawahi kuwa na thamani km unaishi na kahaba ndani ya nyumba Never.Mwanaume yeyote anayedhani atakuwa na ndoa yenye thamani akiwa na kahaba ndani ni dhahiri amekubali kutoa kafara furaha yake kisa Ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…