Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Uyo mrembo matata aliekuja mkafunga wote neti ni nani au ndo umemexipirienci mtoa loho live
 
Kwani hapa anakusikia.. Mfate inbobo kwa sim yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa!,chief mtu kama huyu ulimwacha akaenda hivi hivi,pole lakini ndo maisha,things happens for reason

Sent from Nokia 7 Plus
 
Daah mkuu hapo kwenye funzo Umetoa maneno mazito!! Mungu atusaidie wote katika hili hakuna ajuaye kesho yake..hatunabudi kumwomba mwenyezi Mungu atujalie kila iitwapo leo!!πŸ™
 
Wanaume bhana sijui tunakoseaga wapi,unakuta mtu Ni mwema kabisa kwako ila ewew sasa mambo unayofanya daah Ni shida.....
Anways mungu atujaalie mwisho mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...
afu huyu alieleta mambo ya oteas ningekuwa namjua hata kwa mganga ningemwendea walah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…