Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,015
- 16,447
Nakumbuka chuoni kuna usemi tulikua tukiutumia 'kupiga pasi ndefu' ina maana unaweza kushtua asubuhi then mpaka jioni! Au ukavuta muda mpaka saa sita ukishakula unasubiri jioni ugonge chai na ndazi mbili ulale!
Kwa upande wa mabinti,nakumbuka walikua wanakuja canteen wanazuga unasikia 'najisikia nimeshiba' halafu wanashare sahani moja watu watatu!
Hali ni mbaya wadau,tofauti na vile tunavyoweza kufikiri,ndio maana wale ambao sio wavumilivu wanagegedwa kiulaiini! Tukumbuke njaa haina baunsa!