Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Kuwa wanafunzi wengi wa chuo ukimhakikishia mlo mmoja kwa siku unamla uroda... Hii iko hivi tufanye mlo ni 3,000. So ni sawa umemla uroda kwa tsh 3,000 Hi ni new version ya uwanja wa fisi.

Nimeashtuka sana kwa kweli.
 
i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
0
kuna jamaa kaja na thread ya kuwasaidia dada zetu na kaweka bajeti ya 3000 kwa siku inawezekana ameshawapiga sana sasa hivi ndio anaibuka
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,437
2,000
Kuwa wanafunzi wengi wa chuo ukimhakikishia mlo mmoja kwa siku unamla uroda...
Hii iko hivi tufanye mlo ni 3,000
So ni sawa umemla uroda kwa tsh 3,000
Hi ni new version ya uwanja wa fisi.
Nimeashtuka sana kwa kweli

Hata hiyo ni nyingi pia.
UDOM mpaka kwa Tshs 500/= unapata!!
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
Kuwa wanafunzi wengi wa chuo ukimhakikishia mlo mmoja kwa siku unamla uroda...
Hii iko hivi tufanye mlo ni 3,000
So ni sawa umemla uroda kwa tsh 3,000
Hi ni new version ya uwanja wa fisi.
Nimeashtuka sana kwa kweli

Unasahau kuwa na wewe una dada/utakuwa na dada, utakuwa na wasichana huko mbele kama hujawapata, Jamaa zako wa kuzaliwa wana watoto wa kike, acha kuwadhalilisha. Kesho yatasemwa kwa wanao wanaokuhusu. Ni uongo wa kishetani tu
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
acheni kuwa dhalilisha dada zetu wa chuo kihivyo nahisi walikukataa ndio maana umeamua kuwapaka

Una umri gani?kama bado hujafika chuo subiri ufike ndio uje ubishe hapa kama hujapita shule bado hujachelewa kurudi darasani ujionee mwenyewe
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Unasahau kuwa na wewe una dada/utakuwa na dada, utakuwa na wasichana huko mbele kama hujawapata, Jamaa zako wa kuzaliwa wana watoto wa kike, acha kuwadhalilisha. Kesho yatasemwa kwa wanao wanaokuhusu. Ni uongo wa kishetani tu

Kusema ukweli na kuulizia habari ndio nawadhalilisha
Are you normal mkuu?
 
englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,256
2,000
Una umri gani?kama bado hujafika chuo subiri ufike ndio uje ubishe hapa kama hujapita shule bado hujachelewa kurudi darasani ujionee mwenyewe
nimesha maliza mpaka master,s hizi story zinakuzwa unnecessaryry
 
englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,256
2,000
Kuwa wanafunzi wengi wa chuo ukimhakikishia mlo mmoja kwa siku unamla uroda...
Hii iko hivi tufanye mlo ni 3,000
So ni sawa umemla uroda kwa tsh 3,000
Hi ni new version ya uwanja wa fisi.
Nimeashtuka sana kwa kweli
angalia tusije tukawa tunatumika bila kujua kudhalilisha wasomi wetu na watu wasi tutakia mema
 
mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,428
2,000
we itakua umesoma chuo nje ya nchi au hujapiyia chuo kabisa, hali ya sasa ya vyuo ni mbaya sana kwa kina dad

sasa ina maana hii hali mbaya inakuwa kwa kina dada tu??

je, kina kaka wanapata wapi pesa na ikiwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ni moja kwa wote wadada na wakaka??

Jibu naomba tafadhari kabla sijaendelea kuchangia hapa!!!!MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kamuzu

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
994
225
Mbona hata serikali imelalama kuhusu watoto wa Udom? Kuna ukweli kiwango kikubwa, tuishauri sirikali kumaliza kadhia hiyo, inatia aibu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom