Nimeshindwa kuvumilia

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,559
1,272
Habari wana bodi naomba kuuliza kama kuna sheria yoyote ambayo ninaweza kumshitaki huyu mama diwan aliyefukuzwa kutoka chadema na kujiunga na ccm na kusudia kumshitaki sio kwa sababu kutoa siri ya kutongwozwa la hasha!
Nakusudia kumshitaki kwa msongo wa mawazo alitusabishia sisi wazaz ambao tulienda pale uwanjan(mkutanoni) tunakiwa pamoja na watoto hivyo kuona kama katushushia heshima mbele za watoto wetu
ingawa alicho kisema sio kigen je ilikuwa mahali sahihi na salama kwa wao kuja kutuambia huo upuuz
je wanabodi kuna sheria yoyote nitakayo weza kuitumia ili niweze kumtia hatiani


KWA HISANI YA WARUDISHA MAADILI.
 
Back
Top Bottom