Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

Ukome kuonja onja!!!sio chakula hicho kumbe unae mke unaeishi nae ulikuwa unahangaika nn ss??
 
Kijiji Balaa nimekubwa na balaa ambalo nahisi linautesa moyo wangu.

Kuna mwanamke nilikuwa nimemtongoza kwa muda mrefu takribani mwaka sasa. Ni mwanamke mzuri sana kwa kweli. Msema kweli mpenzi wa Mungu, mwanamke huyo mpaka tunafikisha mwaka mmoja bila kudo ni kwamba mimi nina mke lakini hatujafunga ndoa na yeye alikuwa kama kidumu.

Siku zikaenda mpaka siku moja tu yule demu akakubali tukutane gesti.

Nilipofika gesti siku hiyo nilimpa penzi zuri sana lakini hamu yote iliniisha pale nilipipiga sytle ya mbuzi kagoma!!! Yaani nilikuta jamaa wamerarua tigo vibaya sana na sijawahi kula tigo hata siku moja lakini kwa jinsi hali ilivyo hata kama ni kilema wa macho ni lazima utajua tu.

Nilijitahidi kumaliza bao hilo lakini baada ya hapo hamu na huyo demu imeniisha kabisa na najua yeye atakuwa kafall in love vibaya sana.

Kibaya zaidi tunaishi mitaa ya karibu karibu.

Jamani nishaurini maana mwanamke huyo nimemshusha kabisa moyoni.

Mwisho, moyo umechoka na nimekubwa na msongo wa mawazo kwa nini nimetembea nae huyo sholi!!!

Naamini mtanifariji.

sasa wewe una mke lakini hujaoa??nyie ndo mnaohalalisha zinaa
looo
 
Last edited by a moderator:
Huo ni upande mmoja dada BADILI TABIA,

Kuna upande mwingine wa mke wake ambaye kamsaliti na hapa haonekani hata kustuka nakujutia kwamba kamfanyia kitendo kibaya sana cha kukiuka kiapo chake cha ndoa...cha kuwa mwaminifu kwa mke wake hadi kifo...

Hili kwangu ndiyo tatizo kubwa kuliko hayo mambo mengine aliyokutana nayo...After all, huwezi ukaenda sokoni halafu ukachagua aina ya bidhaa unazotaka kuziona kwenye display!!

Babu DC!!

shikamoo Babu DC hivi kila siku nikisoma comment zako najiuliza hivi hujawahi kumcheat bibi kweli??
Maana mhhh
 
Last edited by a moderator:
shikamoo Babu DC hivi kila siku nikisoma comment zako najiuliza hivi hujawahi kumcheat bibi kweli??
Maana mhhh

Mdogo wangu amu, maisha yetu na bibi ni hadithi ndefu ila tamu sana. I wish ningekusimulia ila najua wewe au wengine hawataniamini. Halafu kucheat ni dhana pana na ngumu sana ingawa watu wameshupalia ngono tu!
 
Last edited by a moderator:
Pole kaka angu hiyo ndio dunia unataka kumuacha punguza mawasiliano nae kwanza pili nikweli inatisha inaathiri kisaikolojia nisawa utongozwe na dume la miraba minne alafu ukute ni shoga au umfumanie mume wako anageuzwa it become a nightmare pole sana fanya hicho nilicho kuambia kisha mwambie huyo kidumu kua mkeo anakaba mpaka penalt hamtaweza kuendelea na mahusiano tena
 
Kijiji Balaa nimekubwa na balaa ambalo nahisi linautesa moyo wangu.

Kuna mwanamke nilikuwa nimemtongoza kwa muda mrefu takribani mwaka sasa. Ni mwanamke mzuri sana kwa kweli. Msema kweli mpenzi wa Mungu, mwanamke huyo mpaka tunafikisha mwaka mmoja bila kudo ni kwamba mimi nina mke lakini hatujafunga ndoa na yeye alikuwa kama kidumu.

Siku zikaenda mpaka siku moja tu yule demu akakubali tukutane gesti.

Nilipofika gesti siku hiyo nilimpa penzi zuri sana lakini hamu yote iliniisha pale nilipipiga sytle ya mbuzi kagoma!!! Yaani nilikuta jamaa wamerarua tigo vibaya sana na sijawahi kula tigo hata siku moja lakini kwa jinsi hali ilivyo hata kama ni kilema wa macho ni lazima utajua tu.

Nilijitahidi kumaliza bao hilo lakini baada ya hapo hamu na huyo demu imeniisha kabisa na najua yeye atakuwa kafall in love vibaya sana.

Kibaya zaidi tunaishi mitaa ya karibu karibu.

Jamani nishaurini maana mwanamke huyo nimemshusha kabisa moyoni.

Mwisho, moyo umechoka na nimekubwa na msongo wa mawazo kwa nini nimetembea nae huyo sholi!!!

Naamini mtanifariji.

shimbonyi shafoo mekuu!
 
Hayo ndio madhala yakumuona uliyekuwa nae hakufai,kizuri ni kile ulichonacho na kithamin.
 
Kijiji Balaa nimekubwa na balaa ambalo nahisi linautesa moyo wangu.

Kuna mwanamke nilikuwa nimemtongoza kwa muda mrefu takribani mwaka sasa. Ni mwanamke mzuri sana kwa kweli. Msema kweli mpenzi wa Mungu, mwanamke huyo mpaka tunafikisha mwaka mmoja bila kudo ni kwamba mimi nina mke lakini hatujafunga ndoa na yeye alikuwa kama kidumu.

Siku zikaenda mpaka siku moja tu yule demu akakubali tukutane gesti.

Nilipofika gesti siku hiyo nilimpa penzi zuri sana lakini hamu yote iliniisha pale nilipipiga sytle ya mbuzi kagoma!!! Yaani nilikuta jamaa wamerarua tigo vibaya sana na sijawahi kula tigo hata siku moja lakini kwa jinsi hali ilivyo hata kama ni kilema wa macho ni lazima utajua tu.

Nilijitahidi kumaliza bao hilo lakini baada ya hapo hamu na huyo demu imeniisha kabisa na najua yeye atakuwa kafall in love vibaya sana.

Kibaya zaidi tunaishi mitaa ya karibu karibu.

Jamani nishaurini maana mwanamke huyo nimemshusha kabisa moyoni.

Mwisho, moyo umechoka na nimekubwa na msongo wa mawazo kwa nini nimetembea nae huyo sholi!!!

Naamini mtanifariji.

kaka naomba number yake nipige na mm nitamsahaulisha wewe kabisa kwa kuwa huwa natumia tigo
 
hahhaa umeshamega na sasa hayupo moyoni tena so wats the problem...au wamuonea huruma kuwa alikuwa analiwa tigo? sii alipenda mwenyewe jamani. potezea rudi kwa mkd wako huku unatafuta kimada kingine
 
logic ni hii, sikutegemea kuona hayo niliyoyona. Kuleta huku ni kuomba ushauri jinsi gani nitavyoachana na huyo demu bila zengwe.
kwani ulichokifuata si ulikikuta! Endelea ku do mbele waachie wenzio wafaidi nyuma mwisho wa siku wote mnazini na adhabu yake waijua!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom